Ukitazama kwa jicho la kimpira utakubaliana na mimi ya kuwa klabu ya Yanga itafika mbali zaidi ya ilipofikia Simba kwenye michuano hii ya CAF.
Ikumbukwe Yanga inashiriki kombe la shirikisho Afrika ambalo mwaka jana Simba alifika robo fainali, ila hakuna klabu yoyote nchini iliyowahi kuvuka nusu fainali iwe klabu bingwa au kombe la shirikisho ambalo limeanzishwa na caf mwaka 2004.
Hivyo tusishangae tukiona Yanga ikichukua kombe hili la shirikisho na kuiletea nchi yetu heshima kubwa.
View attachment 2544029
daaaa ushabiki kazi sana
unamanisha haya yafatayo ndio yanga atayavunja kimataifa
1. Kuongoza kundi mbele ya al ahly na as vita
2. kumfunga as vita kwake
3. kumfunga al ahly akiwa kwenye form yake
4. kumfunga kaizer chief
5. kumfunga orlando pirates
6. kufunga vitataka kama fc platnum, nkana fc, de agosto, vipers, soura, asec memosa , gendermarie ya adebayor,
7. kumfunga rs berkane , al merrick,
8. kucheza fainal ya kombe la shirikisho africa
9. kufika nafasi ya 12 kwa ubora africa na kufikia hatua ya kucheza super league africa moja kwa moja
10. kutinga robo fainal za caf championi sio shirikisho mara kadhaa
11.goli bora la mwaka caf litoke yanga[emoji848]
n. B kuwafunga bamako, na tp mazembe iliyotolewa na viper vibonde ambao pia ni vibonde wa yanga kusiwafanye kulewa sifa za kijinga
yanga angemtoa al hilal ya sudan ndio ningekubali mpo vizuri
Nakuhakishia yanga hamna timu iliyokomaa kupambana na vidume waliopo caf, hata hilo shirikisho mshukuru hamkupangwa na mafundi, imagine mngekuwa kundi kama lile la simba la msimu jana lakina adebayor, konate et uwe na beki bakari au job[emoji848]
Tukubali simba kimataifa wapo mbali japo nao wanachechemea lakin walau wao wanapambana na vigogo hasa , mtu wa yanga anaweza sema viper ni vibonde lakin nina uhakika viper kwa yanga anapoint nne
yanga siku nikiona wameanza kuwafunga vigogo kutoka africa kusini, misri au morocco ndio nitaamin ipo siku watavunja rekodi za simba
mwisho: hata namungo aliingia makundi shirikisho, so cafcc is for all but not Caf champion league