Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Mashindano ni hayo kasoro jina tu.
Uongo, kulikuwa na kombe la washindi ambalo aliwakilisha Pamba, na klabu bingwa liliwakilishwa na Malindi ambaye alikuwa bingwa wa ligi ya muungano,
Kombe la caf lilianzishwa na tajiri mmoja wa Nigeria ndio maana hata timu zilizoshiriki ni za kualikwa, cha kukusaidia hakukuwa na timu kubwa za kutoka Egypt, Morocco au Tunisia
 
Mwenyekiti wao alishawaita Mbumbumbu, hawana uelewa na haya mambo mkuu
 
Kwa wakati huo ndio wawakilishi wa nchi walikuwa wanashiriki hilo. Kama ambavyo Simba ilivyokuwa inaitwa Sunderland, ila bado ni mnyama yule yule aliyeigonga Yanga 6-0, 5-0, 4-1, 4-1, 4-1
Aisee kumbe wew ni bogaz.. Nashauri Moderator wawe wanaangalia utimamu wa akili kabla ya kuwaruhu Wapumbavu kama wewe kujiunga mtandao huu. Mnashusha hadhi ya hii forum
 
Aisee kumbe wew ni bogaz.. Nashauri Moderator wawe wanaangalia utimamu wa akili kabla ya kuwaruhu Wapumbavu kama wewe kujiunga mtandao huu. Mnashusha hadhi ya hii forum
Umejiunga mwaka huu hauna hata miezi mitatu, mimi nipo tangu 2009 yaani miaka 13 iliyopita
 
Kinyesi ni kinyesi tu,yaani mumfunge monastrienne???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Hilo ni taahira tu
 
Aisee kumbe wew ni bogaz.. Nashauri Moderator wawe wanaangalia utimamu wa akili kabla ya kuwaruhu Wapumbavu kama wewe kujiunga mtandao huu. Mnashusha hadhi ya hii forum
Sio bogaz kwani aliekupiga sita 6 si ndio uyo uyo aliekupiga 5-0 tofaut ni jina Tu
Alahly anaongoza Kwa kubeba klabu bingwa ina maana izo alizochukua uko nyuma aziesabiki? Sababu kipindi icho aikuitwa CAF champions League mbona zote zinaesabika na majina tofauti

Ila Kwa vile Simba azijulikani na zinapindishwa Kwa kuona aibu.
Yanga anaongoza kubeba makombe ligi kuu Tanzania bara Kwa kipindi icho aikuitwa ligi kuu Tanzania bara nafikiri iliitwa ligi ya muungano na ilikua unachezea Kwa makundi je zile aziesabiki? Kwamba yanga akuchukua ligi kuu bara Bali ilikua ligi yavmuungano kwaiyo sio hii? Si ndio izo zina mfanya yanga atambe tofaut ni majina Tu lakini ubingwa ni ule ule Jamani kweli mbona mnapindisha uhalisia Kwa nguvu tatizo nini ??! Shame
 
Na tajiri mwenyewe alikuwa akiitwa MASHOUD ABIOLA.
Huyu aliwania Urais wa Nigeria akashinda utawala wa kijeshi ukafuta uchaguzi wote. Jecha Salum Jecha alikopi huko.
Baadae wakamuweka ndani akifia huko huko.
 
Wewe ni kijana wa juzi, iko hivi kabla ya 1992 mashindano ya Afrika yalikuwa ni mawili tu yaani African Cup of Champions Clubs ambayo ndio Sasa tunaita Caf Champions league na African Cup Winner's Cup ambalo sasa ndio tunaita Shirikisho.

Ni kweli mwaka 1992 Caf walianzisha shindano lingine la tatu ambalo linaitwa
Caf cup ndilo hili Simba alifika fainali iyo mwaka 1993 na kupoteza hapa hapa nyumbani Uwanja wa uhuru kwa goli 2-0 dhidi ya Stella Abidjan

Na niwakumbushe tu kuwa huo mwaka 1993, Al Ahly ndio walikuwa mabingwa wa African Cup Winner' s Cup Kwa kumfunga Africa Sports National goli 1-0 na kuwa Mabingwa wa Afrika kwa mashindano hayo yaliyokuwa na hadhi ya pili barani Afrika.

Ni upotoshaji wa kimakusudi kusema Simba amewahi kufika fainal kombe lenye Hadhi ya pili Kwa ukubwa barani Afrika maana hata Caf wenyewe hawana hizo taarifa ninyi mnazitoa wapi?

Labda kama utataka kujifuza zaidi nikueleweshe nini mantiki ya kuanzisha kombe hili la Caf Cup na washiriki wake walikuwa wanapatikana vipi
 
Na tajiri mwenyewe alikuwa akiitwa MASHOUD ABIOLA.
Huyu aliwania Urais wa Nigeria akashinda utawala wa kijeshi ukafuta uchaguzi wote. Jecha Salum Jecha alikopi huko.
Baadae wakamuweka ndani akifia huko huko.
Mkuu hawa vijana wa juzi hawaelewi haya mambo, utashangaa hadi hawa wachambuzi wetu nao wanazidi kupotosha hili jambo.
 
a
Tp Mazembe ni timu ya pili yenye mafanikio makubwa barani Afrika baada ya Al Ahly, bingwa mara 6 Afrika na amekugaragaza mara zote ulizokutana naye hadi mechi za kirafiki
akatandikwa na vipers kotekote club bingwa
 
Tatizo wanatumia akili gani kufikiria hii huu ndio ukweli lakini wanajitoa ufahamu tu
 
Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa uzuri wa jf hakipotei kitu tutarudi tena baadae kuangalia hapa.
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Tuanzie hapa
Je ukienda kwenye vyanzo mbali mbali vya taarifa na kisha ukatafuta data kuhusu kombe la CAF confederation cup. Mfano bingwa wa kwanza wa CAF confederation cup ni timu ipi, list ya waliochukua kombe la CAF confederation cup na list ya runners up. Je taarifa zinazokazotolewa zitajumuisha na mwaka 1993 au zitaanzia mwaka 2004?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…