Mimi nimetaja. Nawe tajaMkuu hilo halikuwa kombe la shirikisho, hebu pitia vyanzo vyako vya taarifa tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimetaja. Nawe tajaMkuu hilo halikuwa kombe la shirikisho, hebu pitia vyanzo vyako vya taarifa tena
Mashindano ni hayo kasoro jina tu.Una uhakika lilikuwa kombe la shirikisho?
Uongo, kulikuwa na kombe la washindi ambalo aliwakilisha Pamba, na klabu bingwa liliwakilishwa na Malindi ambaye alikuwa bingwa wa ligi ya muungano,Mashindano ni hayo kasoro jina tu.
Mwenyekiti wao alishawaita Mbumbumbu, hawana uelewa na haya mambo mkuuUongo, kulikuwa na kombe la washindi ambalo aliwakilisha Pamba, na klabu bingwa liliwakilishwa na Malindi ambaye alikuwa bingwa wa ligi ya muungano,
Kombe la caf lilianzishwa na tajiri mmoja wa Nigeria ndio maana hata timu zilizoshiriki ni za kualikwa, cha kukusaidia hakukuwa na timu kubwa za kutoka Egypt, Morocco au Tunisia
Aisee kumbe wew ni bogaz.. Nashauri Moderator wawe wanaangalia utimamu wa akili kabla ya kuwaruhu Wapumbavu kama wewe kujiunga mtandao huu. Mnashusha hadhi ya hii forumKwa wakati huo ndio wawakilishi wa nchi walikuwa wanashiriki hilo. Kama ambavyo Simba ilivyokuwa inaitwa Sunderland, ila bado ni mnyama yule yule aliyeigonga Yanga 6-0, 5-0, 4-1, 4-1, 4-1
Unatakiwa kutumia hekima kuwaelewesha, waulize swali Simba alishiriki hilo kombe kwa kigezo kipi? Zaidi ya kuwa lilikuwa kombe la mwalikoMwenyekiti wao alishawaita Mbumbumbu, hawana uelewa na haya mambo mkuu
Hilo hawawezi kujua mkuu. Na kumuelewesha mbu3 ni kazi kweli kweliUnatakiwa kutumia hekima kuwaelewesha, waulize swali Simba alishiriki hilo kombe kwa kigezo kipi? Zaidi ya kuwa lilikuwa kombe la mwaliko
Umejiunga mwaka huu hauna hata miezi mitatu, mimi nipo tangu 2009 yaani miaka 13 iliyopitaAisee kumbe wew ni bogaz.. Nashauri Moderator wawe wanaangalia utimamu wa akili kabla ya kuwaruhu Wapumbavu kama wewe kujiunga mtandao huu. Mnashusha hadhi ya hii forum
Hilo ni taahira tuMimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Sio bogaz kwani aliekupiga sita 6 si ndio uyo uyo aliekupiga 5-0 tofaut ni jina TuAisee kumbe wew ni bogaz.. Nashauri Moderator wawe wanaangalia utimamu wa akili kabla ya kuwaruhu Wapumbavu kama wewe kujiunga mtandao huu. Mnashusha hadhi ya hii forum
Na tajiri mwenyewe alikuwa akiitwa MASHOUD ABIOLA.Uongo, kulikuwa na kombe la washindi ambalo aliwakilisha Pamba, na klabu bingwa liliwakilishwa na Malindi ambaye alikuwa bingwa wa ligi ya muungano,
Kombe la caf lilianzishwa na tajiri mmoja wa Nigeria ndio maana hata timu zilizoshiriki ni za kualikwa, cha kukusaidia hakukuwa na timu kubwa za kutoka Egypt, Morocco au Tunisia
Wewe ni kijana wa juzi, iko hivi kabla ya 1992 mashindano ya Afrika yalikuwa ni mawili tu yaani African Cup of Champions Clubs ambayo ndio Sasa tunaita Caf Champions league na African Cup Winner's Cup ambalo sasa ndio tunaita Shirikisho.Sio bogaz kwani aliekupiga sita 6 si ndio uyo uyo aliekupiga 5-0 tofaut ni jina Tu
Alahly anaongoza Kwa kubeba klabu bingwa ina maana izo alizochukua uko nyuma aziesabiki? Sababu kipindi icho aikuitwa CAF champions League mbona zote zinaesabika na majina tofauti
Ila Kwa vile Simba azijulikani na zinapindishwa Kwa kuona aibu.
Yanga anaongoza kubeba makombe ligi kuu Tanzania bara Kwa kipindi icho aikuitwa ligi kuu Tanzania bara nafikiri iliitwa ligi ya muungano na ilikua unachezea Kwa makundi je zile aziesabiki? Kwamba yanga akuchukua ligi kuu bara Bali ilikua ligi yavmuungano kwaiyo sio hii? Si ndio izo zina mfanya yanga atambe tofaut ni majina Tu lakini ubingwa ni ule ule Jamani kweli mbona mnapindisha uhalisia Kwa nguvu tatizo nini ??! Shame
Mkuu hawa vijana wa juzi hawaelewi haya mambo, utashangaa hadi hawa wachambuzi wetu nao wanazidi kupotosha hili jambo.Na tajiri mwenyewe alikuwa akiitwa MASHOUD ABIOLA.
Huyu aliwania Urais wa Nigeria akashinda utawala wa kijeshi ukafuta uchaguzi wote. Jecha Salum Jecha alikopi huko.
Baadae wakamuweka ndani akifia huko huko.
akatandikwa na vipers kotekote club bingwaTp Mazembe ni timu ya pili yenye mafanikio makubwa barani Afrika baada ya Al Ahly, bingwa mara 6 Afrika na amekugaragaza mara zote ulizokutana naye hadi mechi za kirafiki
Tatizo wanatumia akili gani kufikiria hii huu ndio ukweli lakini wanajitoa ufahamu tuWewe ni kijana wa juzi, iko hivi kabla ya 1992 mashindano ya Afrika yalikuwa ni mawili tu yaani African Cup of Champions Clubs ambayo ndio Sasa tunaita Caf Champions league na African Cup Winner's Cup ambalo sasa ndio tunaita Shirikisho.
Ni kweli mwaka 1992 Caf walianzisha shindano lingine la tatu ambalo linaitwa
Caf cup ndilo hili Simba alifika fainali iyo mwaka 1993 na kupoteza hapa hapa nyumbani Uwanja wa uhuru kwa goli 2-0 dhidi ya Stella Abidjan
Na niwakumbushe tu kuwa huo mwaka 1993, Al Ahly ndio walikuwa mabingwa wa African Cup Winner' s Cup Kwa kumfunga Africa Sports National goli 1-0 na kuwa Mabingwa wa Afrika kwa mashindano hayo yaliyokuwa na hadhi ya pili barani Afrika.
Ni upotoshaji wa kimakusudi kusema Simba amewahi kufika fainal kombe lenye Hadhi ya pili Kwa ukubwa barani Afrika maana hata Caf wenyewe hawana hizo taarifa ninyi mnazitoa wapi?
Labda kama utataka kujifuza zaidi nikueleweshe nini mantiki ya kuanzisha kombe hili la Caf Cup na washiriki wake walikuwa wanapatikana vipi
Swali zuri sana.Simba ni bingwa wa nini?
Tuanzie hapaMimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni