Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Simba alienda Abdijan akapata drop akaja taifa aka shamba la bibi akawekwa 2-0.Goli alifung mtu mmoja wakuitwa Bolizozo.
 
Haikuwa kichwa cha mwendawazimu tu aliongezea kusema "hata mlevi anajifundishia kunyoa."
Jamaa zetu hawa baada kuitia aibu nchi mbele ya Amiri Jeshi Mkuu.
 
Ili ucheze CAF super cup ni lazima uwe na kikombe cha CAF, hivyo mfano wako sio sahihi.
 
Simba alienda Abdijan akapata drop akaja taifa aka shamba la bibi akawekwa 2-0.Goli alifung mtu mmoja wakuitwa Bolizozo.
Acha tuendelee kuwapa historia watoto.
Huyu BOLI ZOZO ndie mfungaji wa goli la pili.
Nganda walipokuja kukutana na YANGA wakala 2-0 mfungaji wa goli la pili nae akabatizwa jina hilo la BOLI ZOZO.

Kabla ya mechi washabiki wa YANGA waliombwa wawe wazalendo wasiwazomee Simba wala wasiwashangilie wageni.
Na kweli walijitahidi kutekeleza ombi la Serikali. Lakini huyu BOLI ZOZO alipofanya yake uzalendo ukawashinda wakaanza kuimba " UZALEENDOO UMETUSHINDA UZALEENDOO UMETUSHINDA"
 
K wamashindano ya walioshindwa, nazungumzia Champions League ambayo ndio ilikuwa ndoto kubwa ya Yanga, kufika makundi ya Champions league.

Umesema Yanga inamfunga yoyote, nikakuuliza inakuaje ipo kwa waliofeli?
Kwa hiyo unataka nirudie Tena maelezo!!?..umelewa!!?
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Haikua shirikisho. Yale yalikua mashindano ya kombe lililoitwa CAF ambalo lilikua linadhaminiwa na tajiri fulani wa huko West Africa. Wakati huo kulikua na kombe la klabu bingwa, kombe la washindi (shirikisho) na hilo la CAF.
 
Memba wa Ajabu zaidi JF.

Una ujinga MWINGI mno.
Unaidhalilisha sana Jamii Forum.

Ngoja niku ignore
 
Haikua shirikisho. Yale yalikua mashindano ya kombe lililoitwa CAF ambalo lilikua linadhaminiwa na tajiri fulani wa huko West Africa. Wakati huo kulikua na kombe la klabu bingwa, kombe la washindi (shirikisho) na hilo la CAF.
Kwa akili yako ndogo unaamini CAFCC ( shirikisho) ni mashindano ya maana kuliko CAFCL ( klabu bingwa)?

Mbona mnapenda mijadala ya kijinga ambayo hata haina faida? Unakaza mishipa kubishania upuuzi hebu jielewe basi brother.
 
Haikua shirikisho. Yale yalikua mashindano ya kombe lililoitwa CAF ambalo lilikua linadhaminiwa na tajiri fulani wa huko West Africa. Wakati huo kulikua na kombe la klabu bingwa, kombe la washindi (shirikisho) na hilo la CAF.
Imeisha hiyo
 
Onesha uwongo ulipo, wewe ndio wale wapotoshaji
Kombe la shirikisho limetokana CAF Cup na African Cup Winners' Cup na si vinginevyo kama wewe ulivyoeleza.

Mbona Kila kitu kiko wazi ila mnapenda ubishi wa kijinga !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…