utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Huu mjadala tuufanyie wote, wapi nimepuyanga? Hebu paoneshe kuliko kuzungumzia kiujumlaSio kwa kupuyanga huko rudi kasome tena hata googleView attachment 2544770
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mjadala tuufanyie wote, wapi nimepuyanga? Hebu paoneshe kuliko kuzungumzia kiujumlaSio kwa kupuyanga huko rudi kasome tena hata googleView attachment 2544770
Simba alienda Abdijan akapata drop akaja taifa aka shamba la bibi akawekwa 2-0.Goli alifung mtu mmoja wakuitwa Bolizozo.Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Onesha uwongo ulipo, wewe ndio wale wapotoshajiJF kuna watu wa ajabu sana, utakuta ameandika kwa confidence zote lakini ni uwongo.
Na baada mechi akawaita Kichwa cha mwendawazimu? Aisee hili Neno kumbe Simba ndio mwanzilishi wake? utopolo og wewe ni peponi Moja Kwa Moja Leo umenifungua macho. Na kuanzia leo sibishani na wendawazimu ambao Hadi raisi wa nchi aliona uwendawazimi wao
Mtafurahi sanaNasisi tunataka kuchukua kombe la robo fainali kama mlilochukua nyie baada ya kuwasha moto uwanjani
Ili ucheze CAF super cup ni lazima uwe na kikombe cha CAF, hivyo mfano wako sio sahihi.Ni sawa na Simba aje kushindwa katika mechi ya fainali katika CAF Super Cup halafu uwaite kichwa cha mwendawazimu, hilo linaingia akilini kweli? Na wale ambao hawakuwa na hata sifa za kushiriki tuwaitaje? Jaribuni kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizi, please!
Kwa nini mwaka huu na nyie mmeshindwa kuingia Champions league kama Simba?Simba alisaidiwa na Corona kipindi kile Sasa hivi ndio mtajua ubovu wa simba kolo[emoji3]
Acha tuendelee kuwapa historia watoto.Simba alienda Abdijan akapata drop akaja taifa aka shamba la bibi akawekwa 2-0.Goli alifung mtu mmoja wakuitwa Bolizozo.
Sana alafu wala hatuwashi moto uwanjaniMtafurahi sana
Kwa hiyo unataka nirudie Tena maelezo!!?..umelewa!!?K wamashindano ya walioshindwa, nazungumzia Champions League ambayo ndio ilikuwa ndoto kubwa ya Yanga, kufika makundi ya Champions league.
Umesema Yanga inamfunga yoyote, nikakuuliza inakuaje ipo kwa waliofeli?
1999 Yanga alipigwa bao Sita na Raja1993 Simba alicheza fainali ya CAF yanga wanaenda Kuna record ipi
Waambie hao maana naona wanaota ndoto ya jioniHeshima haiji kwa kushiriki shirikisho
Haikua shirikisho. Yale yalikua mashindano ya kombe lililoitwa CAF ambalo lilikua linadhaminiwa na tajiri fulani wa huko West Africa. Wakati huo kulikua na kombe la klabu bingwa, kombe la washindi (shirikisho) na hilo la CAF.Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Nimekuelekeza, sihitaji maelezo yakoKwa hiyo unataka nirudie Tena maelezo!!?..umelewa!!?
Kwa akili yako ndogo unaamini CAFCC ( shirikisho) ni mashindano ya maana kuliko CAFCL ( klabu bingwa)?Haikua shirikisho. Yale yalikua mashindano ya kombe lililoitwa CAF ambalo lilikua linadhaminiwa na tajiri fulani wa huko West Africa. Wakati huo kulikua na kombe la klabu bingwa, kombe la washindi (shirikisho) na hilo la CAF.
Na mtakoma mwezi wa nne mtadundwa Kama ngomaNimekuelekeza, sihitaji maelezo yako
Imeisha hiyoHaikua shirikisho. Yale yalikua mashindano ya kombe lililoitwa CAF ambalo lilikua linadhaminiwa na tajiri fulani wa huko West Africa. Wakati huo kulikua na kombe la klabu bingwa, kombe la washindi (shirikisho) na hilo la CAF.
Kombe la shirikisho limetokana CAF Cup na African Cup Winners' Cup na si vinginevyo kama wewe ulivyoeleza.Onesha uwongo ulipo, wewe ndio wale wapotoshaji
Umemaliza kila kitu.Sio kwa kupuyanga huko rudi kasome tena hata googleView attachment 2544770