Kagoogle ulete jibu hapaNenda kadugle
Sina muda wa kupoteza kiasi hicho.Kagoogle ulete jibu hapa
Embu tafsiri hapo kilichoandkwa, kwasababu unajiabisha.Vilaza hawaelewagiView attachment 2545301
Sasa kama hauna muda wa kupoteza unachangia nini hapa si ungelala au ungefanya shughuli nyingine mbona upo jukwaani kupoteza muda?Sina muda wa kupoteza kiasi hicho.
Nilale sasaSasa kama hauna muda wa kupoteza unachangia nini hapa si ungelala au ungefanya shughuli nyingine mbona upo jukwaani kupoteza muda?
Pamoja na msaada wa Google lakini umeshindwa kuelewa lugha.Imeisha hiyoView attachment 2545162
Hana akili huyoEmbu tafsiri hapo kilichoandkwa, kwasababu unajiabisha.
Wewe ni brother K' wakukurupuka.Kombe la shirikisho limetokana CAF Cup na African Cup Winners' Cup na si vinginevyo kama wewe ulivyoeleza.
Mbona Kila kitu kiko wazi ila mnapenda ubishi wa kijinga !!!!
Ila yanga walikua nae kambini kipa mwenye tabia za askari wa zenji, na alisema wapo wengi paleeeSimba hawana tofaut na yule Afande wa zenji... [emoji23][emoji28]
Binafsi Nina wasiwasiMbona unarukaruka, si usimame kwenye hoja ya uzi wako kwamba Yanga ndio itakuwa timu ya kwanza Tanzania kwenye michuano ya Afrika kufika Nusu Fainali? Usiukimbie uzi wako, endelea hivyo hivyo. Ndio mkome kuanzisha nyuzi wakati hamna data
Lakini badoo yanga hakushiriki pia,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eSi Kama makombe ya hedex na tusker tu!
TP Mazembe akishinda mechi mbili atakuwa na tisa sio kumi.Mm Hadi tufuke hatua hi muhimu nduo nitakuwa na amani lolote linaweza kututokea na kuishia hatua hi tp mazembe. Wanaeza kushinda mechi zote mbili jumla na kupata point 10 na ss labda tushinde ya monastri kwa mbinde
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
AhahaaaSimba alisaidiwa na Corona kipindi kile Sasa hivi ndio mtajua ubovu wa simba kolo[emoji3]
Mtarudisha zile goli 5?Na mtakoma mwezi wa nne mtadundwa Kama ngoma
Sasa hiki ndicho nilichoeleza mini huyo jamaaa yenu kapuyanga.Pamoja na msaada wa Google lakini umeshindwa kuelewa lugha.
CAF confederation imeanzishwa mwaka 2004 kwa kuunganisha mashindano mawili ambayo ni CAF cup na Africa cup winners.
Hapo zamani kulikuwa na mashindano matatu ya CAF.
1) klabu bingwa
Hapa ni wale waliongoza katika msimamo wa ligi za nchi zao ndio zitazoshiriki michuano.
2) Africa cup winner's
Hii ni michuano ambayo ilihusisha waliochukua makombe ya shirikisho la soka nchini mwao,Mfano kama ilivyosasa kombe la Azam federation cup.
3)michuano ya tatu ndio ilikuwa ni CAF cup
Hii ni michuano iliyohusisha timu ambazo hazijafuzu kucheza michuano ya klabu bingwa. Na ilikuwa inachukuliwa timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu na pia asiwe amefuzu kucheza cup winner's.
CAF cup na Confederation cup ni mashindano mawili tofauti ila CAF confederation cup ni matokeo ya michuano miwili kuunganisha pamoja yaani Cup winner's na CAF cup
Tatizo mnandandia gari Kwa mbeleWewe ni brother K' wakukurupuka.
Jamaa katoa historia ya CAF cup na wala hajatoa historia ya kombe ya shirikisho. Na katika history ya CAF cup yupo sahihi kabisa.