Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Sasa kama hauna muda wa kupoteza unachangia nini hapa si ungelala au ungefanya shughuli nyingine mbona upo jukwaani kupoteza muda?
Nilale sasa
485074409.jpg
 
Pamoja na msaada wa Google lakini umeshindwa kuelewa lugha.
CAF confederation imeanzishwa mwaka 2004 kwa kuunganisha mashindano mawili ambayo ni CAF cup na Africa cup winners.
Hapo zamani kulikuwa na mashindano matatu ya CAF.
1) klabu bingwa
Hapa ni wale waliongoza katika msimamo wa ligi za nchi zao ndio zitazoshiriki michuano.
2) Africa cup winner's
Hii ni michuano ambayo ilihusisha waliochukua makombe ya shirikisho la soka nchini mwao,Mfano kama ilivyosasa kombe la Azam federation cup.

3)michuano ya tatu ndio ilikuwa ni CAF cup
Hii ni michuano iliyohusisha timu ambazo hazijafuzu kucheza michuano ya klabu bingwa. Na ilikuwa inachukuliwa timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu na pia asiwe amefuzu kucheza cup winner's.

CAF cup na Confederation cup ni mashindano mawili tofauti ila CAF confederation cup ni matokeo ya michuano miwili kuunganisha pamoja yaani Cup winner's na CAF cup
 
Attachments

  • IMG_20230311_001159.jpg
    IMG_20230311_001159.jpg
    106.6 KB · Views: 2
  • IMG_20230311_003222.jpg
    IMG_20230311_003222.jpg
    74.1 KB · Views: 2
Kombe la shirikisho limetokana CAF Cup na African Cup Winners' Cup na si vinginevyo kama wewe ulivyoeleza.

Mbona Kila kitu kiko wazi ila mnapenda ubishi wa kijinga !!!!
Wewe ni brother K' wakukurupuka.
Jamaa katoa historia ya CAF cup na wala hajatoa historia ya kombe ya shirikisho. Na katika history ya CAF cup yupo sahihi kabisa.
 
Attachments

  • IMG_20230311_004606.jpg
    IMG_20230311_004606.jpg
    212.9 KB · Views: 2
Ukiingia google ukatafuta orodha ya mabingwa wa CAF confederation cup na timu zilizokuwa runner's up kwenye hilo kombe, huwezi kukutana na timu ya Simba kwenye hiyo orodha kwasababu CAF cup sio CAF confederation cup
 
Mm Hadi tufuke hatua hi muhimu nduo nitakuwa na amani lolote linaweza kututokea na kuishia hatua hi tp mazembe. Wanaeza kushinda mechi zote mbili jumla na kupata point 10 na ss labda tushinde ya monastri kwa mbinde

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Simba hawana tofaut na yule Afande wa zenji... [emoji23][emoji28]
Ila yanga walikua nae kambini kipa mwenye tabia za askari wa zenji, na alisema wapo wengi paleee

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kabwiliiii woyeeeeeeeee
 
Mm Hadi tufuke hatua hi muhimu nduo nitakuwa na amani lolote linaweza kututokea na kuishia hatua hi tp mazembe. Wanaeza kushinda mechi zote mbili jumla na kupata point 10 na ss labda tushinde ya monastri kwa mbinde

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
TP Mazembe akishinda mechi mbili atakuwa na tisa sio kumi.
 
H
i badoo yanga hakushiriki pia,.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ei
Hilo walikua wakishiriki washindi wa pili ligi za ndani
 
Pamoja na msaada wa Google lakini umeshindwa kuelewa lugha.
CAF confederation imeanzishwa mwaka 2004 kwa kuunganisha mashindano mawili ambayo ni CAF cup na Africa cup winners.
Hapo zamani kulikuwa na mashindano matatu ya CAF.
1) klabu bingwa
Hapa ni wale waliongoza katika msimamo wa ligi za nchi zao ndio zitazoshiriki michuano.
2) Africa cup winner's
Hii ni michuano ambayo ilihusisha waliochukua makombe ya shirikisho la soka nchini mwao,Mfano kama ilivyosasa kombe la Azam federation cup.

3)michuano ya tatu ndio ilikuwa ni CAF cup
Hii ni michuano iliyohusisha timu ambazo hazijafuzu kucheza michuano ya klabu bingwa. Na ilikuwa inachukuliwa timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu na pia asiwe amefuzu kucheza cup winner's.

CAF cup na Confederation cup ni mashindano mawili tofauti ila CAF confederation cup ni matokeo ya michuano miwili kuunganisha pamoja yaani Cup winner's na CAF cup
Sasa hiki ndicho nilichoeleza mini huyo jamaaa yenu kapuyanga.

Yeye anasema kombe la shirikisho limetokana na kombe la CAF winners. Wakati uhalisia ni limetokana na muunganiko wa CAF winners na CAF cup.
 
Wewe ni brother K' wakukurupuka.
Jamaa katoa historia ya CAF cup na wala hajatoa historia ya kombe ya shirikisho. Na katika history ya CAF cup yupo sahihi kabisa.
Tatizo mnandandia gari Kwa mbele
 
Back
Top Bottom