Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

Ukitazama kwa jicho la kimpira utakubaliana na mimi ya kuwa klabu ya Yanga itafika mbali zaidi ya ilipofikia Simba kwenye michuano hii ya CAF.

Ikumbukwe Yanga inashiriki kombe la shirikisho Afrika ambalo mwaka jana Simba alifika robo fainali, ila hakuna klabu yoyote nchini iliyowahi kuvuka robo fainali iwe klabu bingwa au shirikisho.

Hivyo tusishangae tukiona Yanga ikichukua kombe hili la shirikisho na kuiletea nchi yetu heshima kubwa.

View attachment 2544029
Mpo shirikisho unavunjaje record za Club Bingwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Aaah wapi
 
Jamaa jinga wewe, kwamba huamini kwamba Simba ilifika fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 na Nusu Fainali ya Klabu Bingwa afrika mwaka 1974 ? Ukome kuanzisha nyuzi kifala
Caf Confederation Cup imeanzishwa mwaka 2004 baada ya caf kuunganisha makombe ya Caf cup na Afican cup Winner's cup.
Sasa iyo 1993 Simba ilifikaje fainal ya michuano ambayo haikuwepo??
Je wewe ni taahira?
 
Ukitazama kwa jicho la kimpira utakubaliana na mimi ya kuwa klabu ya Yanga itafika mbali zaidi ya ilipofikia Simba kwenye michuano hii ya CAF.

Ikumbukwe Yanga inashiriki kombe la shirikisho Afrika ambalo mwaka jana Simba alifika robo fainali, ila hakuna klabu yoyote nchini iliyowahi kuvuka nusu fainali iwe klabu bingwa au kombe la shirikisho ambalo limeanzishwa na caf mwaka 2004.

Hivyo tusishangae tukiona Yanga ikichukua kombe hili la shirikisho na kuiletea nchi yetu heshima kubwa.

View attachment 2544029
Huna akili wewe Championships na Confederations wapi na wapi
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Hivi ungekaa kimya ungepungukiwa nini? Ni lini simba alicheza fainali ya kombe la shirikisho? Hiyo nusu tu hajawahi kuigusa
 
Mimi ni mwananchi halisi lakini sioni aibu kusema Simba ilishafika fainali ya kombe la shirikisho na kupoteza Kwa Stella Artois1993. Mchezo ulichezwa Kwa siku mbili. Wenye kumbukumbu nzuri tukumbusheni
Halikuwa kombe la shirikisho hilo mkuu umechanganya
 
Caf Confederation Cup imeanzishwa mwaka 2004 baada ya caf kuunganisha makombe ya Caf cup na Afican cup Winner's cup.
Mimi nimeandika Kombe la CAF na taahira umekazania Confederation Cup, mbwa wee. Halafu hiyo ya Nusu fainali ya Simba unairuka kama vile huioni. Luc Eymael kocha wenu aliwaita mbwa na nyani
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom