Yanga itafute mwanasheria mwingine, iachane na Patrick Simon, ana kasoro

Hawezi kucheza Yanga sababu ameshasajiriwa na Simba, ila Yanga watamshinda kea kuwa amewatapeli tabia ambayo inapigwa vita michezoni, hivyo anaweza akaishia kufungiwa kama Yanga watamkomalia
Patrick ameshindwa tena hapo. Alipaswa kushauri viongozi walipaswa kufanya nini au wasifanye nini kwenye usajili kuepuka makosa ya keshiria ya kumkosa mchezaji. Hafai
 
Kila afanyacho ni maelekezo, usifikiri kwamba hajui mamkikataba ya magumashi, hizi timu za kariakoo zenyewe ndio zinawapangia walimu, wanasheria, waasibu na wachezaji cha kufanya na si wataalamu kuishauri timu .
YANGA ndio inampangia WAKILI cha kufanya na si wakili kuishauri YANGA.
 
Hahahah mkuu huyu jamaa atakuwa mjinga kiasi kuharibu Professional yake kiasi watu wa Kariakoo.

Basi elimu ipo chini sana kisq hiki? Unasoma wee halafu unapewa ajira na mtu asiyejari elimu yako?
 
Hawezi kucheza Yanga sababu ameshasajiriwa na Simba, ila Yanga watamshinda kea kuwa amewatapeli tabia ambayo inapigwa vita michezoni, hivyo anaweza akaishia kufungiwa kama Yanga watamkomalia
HUNA HATA KIMOJA UNACHOKIJUA KUHUSU HIYO KESI YA KAGOMA. KAGOMA ALISAINI MKATABA TU LAKINI HAKUCHUKUA HATA SH KUMI YA YANGA NA HUO MKATABA ALIOSAINI TAYARI ULISHAVUNJIKA KITAMBO TU. TFF INAWEZAJE KUMPA MCHEZAJI LESENI HALAFU TFF HIYO HIYO IMFUNGIE KWA KIPI? KWA KOSA GANI? WAKATI MKATABA NA NYUMA MWIKO ULISHAVUNJIKA.
 
Kwa hiyo na wewe unayejua vyite kuhusu hiyo kesi ndiyo umejibu hivi?
Ulivyojibu tu unaonekana uwezo wako wa kuelewa unaanzia chini hadi ugokoni.
 
Sio kwelibhanaaa. Ina maana mwanasheria hahusishwi kwenye uandishi na vipengela vya mikataba? Hakuwaambia mabosi wake kuwa kuchelewesha malipo kunaweza kutumika kama mwanya wa kuvunjika kwa mkataba? Ina maana Patrick hakufuatilia kesi ya Lameck Lawi vs Simba na Simba vs coastal union?
 
GB64 alisema na kuweka ahadi kuwa Chama akihamia Yanga basi na yeye anahamia Yanga! Akasema Yanga hawana uwezo wa kuwachukua Chama na Baleke! Sasa huyo ni timamu kweli!??
 
Kwa hiyo na wewe unayejua vyite kuhusu hiyo kesi ndiyo umejibu hivi?
Ulivyojibu tu unaonekana uwezo wako wa kuelewa unaanzia chini hadi ugokoni.
HUJUI CHOCHOTE NDIO MAANA UMEISHIA KUNISHAMBULIA BADALA YA KUISHAMBULIA HOJA ILIYOPO MEZANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…