Yanga itakuwa hatari zaidi ikiwa watakutana na Al Hilal ya Sudan

Yanga itakuwa hatari zaidi ikiwa watakutana na Al Hilal ya Sudan

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Ikiwa Al Hilal atafanikiwa kumtowa St-George, Al hHilal watakutana na Yanga kwa next step.

Na mechi hiyo itakuwa hatari na yenye kuvutia zaidi ila naamini Yanga watawafunga Al Hilal ndani na nje

Kwanini mechi itakuwa ni hatari
Kwasababu mechi itakuwa kati ya Ibenge na wachezaji wake wa zamani
kwa hiyo basi Ibenge anawajua zaidi wachezaji wake wa zamani na namna ya kuwakaba na namna ya uchezaji wao

Huku wachezaji wake wa zamani wanajua baadhi ya tactics fulani ambazo Ibenge huwa anatumia kwa hiyo mambo hayatokuwa rahisi kwa pande zote mbili

Kitakachofanya ushindi uwe kwa Yanga ni kitu gani?

Ni pale wachezaji wa Yanga kama Mayele, Jesus, Juma, Lomalisa, Kisinda watataka heshima yao na sifa kwao
hasa hasa huyu Mayele akitaka sifa ndugu yangu hua ni hatari zaidi

Wachezaji wa Al Hilal watamkaba zaidi Mayele na Mayele ukimkaba saana ndo anakuwa hatari zaidi kuliko unavyomchukulia poa. Na Mayele ndiye atakayeamua hii mechi

received_1432589363902518.jpg
 
Ili mfunge tena hat trick.Maana kipimo cha ubora wa timu yenu tumekiona kwa Zalan.Ni mwendo wa kuwapiga tatu tatu wapinzani.Hongereni
Sasa hao Al hilal wakipigwa mtaanza kutafuta maneno mengine ya kuongea, subilini sasa majibu mtayapata naona matumaini yenu yote yako kwa Al hilal kumpiga yanga ngoja tuone kama mtafanikiwa kufurahi
 
Kwa Yanga hii ni Bora waungane Al hilal na St George iwe timu mmoja. Kwa Yanga hii hakuna timu yoyote kutoka Zone Five itakayo tu Sumbua.
Mkuu tema mate chini, usidharau mamba
 
Kuna timu inaanzia kwa mkapa baba jeni bye bye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Kuna timu inaanzia kwa mkapa baba jeni bye bye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kuanza kwa Mkapa haiwi guarantee ya timu kutolewa. Kikubwa ni kujipanga na kuchanga karata vizuri tu. Usikariri mpira kwa mazoea, hao wenyewe wameangaika sana mpaka kufikia kufuzu hivyo kila timu ina nafasi ya kusonga mbele hakuna wa kumtisha mwenzie
 
Yanga ni tishio aisee! Kama mimi muongo, basi waulize tu Bombay Fc! Watakuambia. Hakuna timu iwe ya ndani, au nje itaombea kukutana na hii Yanga ya akina Fiston Mayele.
 
Back
Top Bottom