Yanga itakuwa hatari zaidi ikiwa watakutana na Al Hilal ya Sudan

Yanga itakuwa hatari zaidi ikiwa watakutana na Al Hilal ya Sudan

Ikiwa Al Hilal atafanikiwa kumtowa St-George, Al hHilal watakutana na Yanga kwa next step.

Na mechi hiyo itakuwa hatari na yenye kuvutia zaidi ila naamini Yanga watawafunga Al Hilal ndani na nje

Kwanini mechi itakuwa ni hatari
Kwasababu mechi itakuwa kati ya Ibenge na wachezaji wake wa zamani
kwa hiyo basi Ibenge anawajua zaidi wachezaji wake wa zamani na namna ya kuwakaba na namna ya uchezaji wao

Huku wachezaji wake wa zamani wanajua baadhi ya tactics fulani ambazo Ibenge huwa anatumia kwa hiyo mambo hayatokuwa rahisi kwa pande zote mbili

Kitakachofanya ushindi uwe kwa Yanga ni kitu gani?

Ni pale wachezaji wa Yanga kama Mayele, Jesus, Juma, Lomalisa, Kisinda watataka heshima yao na sifa kwao
hasa hasa huyu Mayele akitaka sifa ndugu yangu hua ni hatari zaidi

Wachezaji wa Al Hilal watamkaba zaidi Mayele na Mayele ukimkaba saana ndo anakuwa hatari zaidi kuliko unavyomchukulia poa. Na Mayele ndiye atakayeamua hii mechi

View attachment 2360870
 

Attachments

  • Pitsoe.jpg
    Pitsoe.jpg
    47.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom