Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
Al hilal ya kuleee Sudan kwa wavaa mabomu ndo itacheza na Uto.safari ya Uto imekwishaaaa[emoji23][emoji23][emoji28][emoji133][emoji133][emoji133]Acha tusubirie mshindi kati ya hao wawili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Al hilal ya kuleee Sudan kwa wavaa mabomu ndo itacheza na Uto.safari ya Uto imekwishaaaa[emoji23][emoji23][emoji28][emoji133][emoji133][emoji133]Acha tusubirie mshindi kati ya hao wawili
Ikiwa Al Hilal atafanikiwa kumtowa St-George, Al hHilal watakutana na Yanga kwa next step.
Na mechi hiyo itakuwa hatari na yenye kuvutia zaidi ila naamini Yanga watawafunga Al Hilal ndani na nje
Kwanini mechi itakuwa ni hatari
Kwasababu mechi itakuwa kati ya Ibenge na wachezaji wake wa zamani
kwa hiyo basi Ibenge anawajua zaidi wachezaji wake wa zamani na namna ya kuwakaba na namna ya uchezaji wao
Huku wachezaji wake wa zamani wanajua baadhi ya tactics fulani ambazo Ibenge huwa anatumia kwa hiyo mambo hayatokuwa rahisi kwa pande zote mbili
Kitakachofanya ushindi uwe kwa Yanga ni kitu gani?
Ni pale wachezaji wa Yanga kama Mayele, Jesus, Juma, Lomalisa, Kisinda watataka heshima yao na sifa kwao
hasa hasa huyu Mayele akitaka sifa ndugu yangu hua ni hatari zaidi
Wachezaji wa Al Hilal watamkaba zaidi Mayele na Mayele ukimkaba saana ndo anakuwa hatari zaidi kuliko unavyomchukulia poa. Na Mayele ndiye atakayeamua hii mechi
View attachment 2360870
Sio kwamba iotokea wametoka hapa wataibukia shirkisho?Mwisho wa Uto ndio hapo,mpaka mwakani tena itakapobembwa na nusu fainali ya Mnyama
Huo ni mtizamo wako binafsi.Mwisho wa Uto ndio hapo,mpaka mwakani tena itakapobembwa na nusu fainali ya Mnyama