Yanga itaongozwa na wana Yanga wenyewe na sio watu wa kuchaguliwa.... Stay Tuned

Yanga itaongozwa na wana Yanga wenyewe na sio watu wa kuchaguliwa.... Stay Tuned

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
KAMA KUNA WAKATI UMEFIKA N SASA YANGA KUONYESHA UMOJA WAOO

YANGA ITAONGOZWA NA VIONGOZI WANAOTAKA WAO KAMA.WANA YANGA NA SI VINGINEVYO

TUSIRUHUSU DAMU ZA SIMBA KUINGIZWA JANGWANI KAMWE

YANGA TUNA.MSEMAJI WETU NAAMINI YAJAYOOOYANAFURAHISHA SANAA

TUKUTANE......
KUNA WATU WANANUFAIKA NA MATATIZO YA HIZI CLUB AMA KIFEDHA AMA .......


UMEFIKA WAKATI WANAYANGA KUAMUA ATUTAKI SHIDA AMA TUENDELEE NA SHIDA ZETU

WAPO WANAOBET KABISA LEOO YANGA INAFUNGWA WAKIAMINI KUTOTKANA.NA MATATIZO YA YANGA...AMKENI

WAKATI WA KUONYESHA UMOJA....
 
Sasa Manji si achukue fomu tu?
Jana Ikulu Rostam kaulizwa na raisi yeye ni timu gani akajibu Yanga..watoto wa mjini tukapata jibu Manji hatakiwi na sirikali na sisi Yanga tunamtaka aendelee kuwa mwenyekiti...Yanga tuko wengi kuliko CCM ..mwaga mboga tutamwaga ugali 2020...
 
Yanga nguvu moja,Daima Mbele Nyuma Mwiko. Mwakiembe aende Kyela akatafute Soko la Cocoa si kututafutia Yanga Viongozi.
 
Kampeni za makusudi kabisa za kuivuruga yanga zinazo ongozwa na waziri mwenye zamana ya michezo ambaye ni mnazi mkubwa wa simba akishirikiana tff na baraza la michezo!
 
Huyu mwakyembe, saria wanaivuruga Yanga makusudi... Wana Yanga tunamtaka Manji
 
Back
Top Bottom