yanga itashinda na 3+ wekamzigoo...

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ya Christmas's kabla sijasahau

Naomba niwape siri kama kuna timu Medeama atajuta kukutana nayo nyumbani ni Yanga

Nisiseme mengi kifupi Yanga itashinda FT na total goals zaidi ya 3

Adbest
 
Kushinda Sio Hoja......!

Hoja Mashabiki Kuingizwa Bure...! Fungulia umbwa

Hii ni Kashfa kwa Timu Kubwa kama Yanga..!
 
Kushinda Sio Hoja......!

Hoja Mashabiki Kuingizwa Bure...! Fungulia umbwa

Hii ni Kashfa kwa Timu Kubwa kama Yanga..!
Unajua maana ya neno "bure"? Bure maana yake ni bure akuna kinacholipiwa chochote, but kwa yanga sio bure maana tiketi zimelipiwa na mzigo umeingia kwenye account ya yanga ingekuwa bure ata tiketi zisingekuwepo!
 
Nani kalipia? We umeona hiyo transfer ya fedha ?
 
Hili jambo Viongozi wamelifanya bila Kufikiria.... ! Karne hii Yanga inayojiita Timu Kubwa.

Shabiki anaingia 'Fungulia Umbwa'....?

Katika Hali Ya Kawaida hata huku kitaa Mtu aandae sherehe afu anakualika bila kuchangia Wakati yeye Kaingia Gharama inakuwa ameku dharau sana.....! Yanga sio ya Watu Kuingia bure Kbs....!

Hili lingefanywa na Azam ,isingeshangaza...! Azam hana Mashabiki.

Yanga is BIG TEAM..! This is very Low for Yanga.
 
Unajua maana ya neno "bure"? Bure maana yake ni bure akuna kinacholipiwa chochote, but kwa yanga sio bure maana tiketi zimelipiwa na mzigo umeingia kwenye account ya yanga ingekuwa bure ata tiketi zisingekuwepo!
Nimekupa tkt imeandikwa 10000...ujalipa.chochote hhio si bureumepewa
 
Nyie Mashabiki Wa Utopolo Muache Kukenua Meno Kwa hili....! Hii ni Aibu..sasa mchango wa shabiki ni nini..?
 
hawa

pakome
MSonda
Aucho
maxsengele
Wadunguaji wa jtano
 
scudo
Mudathir
Aziz kik
Mzize
Hawa watatoa assist za magoli
 
So mnajadili watu kulipiwa na hamjadili mechi kushinda au kushindwa!
 
tafuta hela
 
Nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ya Christmas's kabla sijasahau

Naomba niwape siri kama kuna timu Medeama atajuta kukutana nayo nyumbani ni Yanga

Nisiseme mengi kifupi Yanga itashinda FT na total goals zaidi ya 3

Adbest
Mbetie Yanga ushindi, weka milion mbili na km hauna kakope benki, weka nyumba dhamana maana atashinda na utapata zaidi ya mara 3.
Hii ni njia mojawapo ya kupata pesa, nimekupa mchongo wa hela zaidi wa ule wa Clouds FM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…