NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?Ushauri wangu kwa Yanga sc: watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa muda mrefu kuwa timu ni ya Mo dewji.
Kwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?
Huo usajili wa mashabiki utafanywa na mjinga tu kama wajinga wengine wanaoamini kwamba Uto inamilikiwa na wananchi 😂😂
Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake 😂😂
GENTAMYCINE Simba ni mali ya nani?Kuna mashabiki wamevunjika moyo baada ya kusikia kuwa timu ilinunulia muda mrefu na Mo Dewji.
Ushauri wangu kwa Yanga watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa muda mrefu kuwa timu ni ya Mo Dewji.
Mashabiki ni wengi sana na hii ni fursa kwa Yanga SC kujipatia mashabiki wa kutosha.
Afisa Habari na Mawasiliano (Ali Kamwe)
Meneja Masoko wa Kimtandao (Privadinho)
Na viongozi wengine huu ni muda wenu sasa kuwakaribisha mashabiki kutoka upande wa pili.
GENTAMYCINE , OKW BOBAN SUNZU ,Kalpana .
Na wengine wengi mliokua mnatanua domo kuikejeli Yanga karibuni sana katika timu ya wananchi.
Umepaniki blazaaa..!!!! Yaani Mo akihesabu idadi ya mashina ya mkonge anayoyamiliki, na wewe umo..!!Kwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?
Huo usajili wa mashabiki utafanywa na mjinga tu kama wajinga wengine wanaoamini kwamba Uto inamilikiwa na wananchi 😂😂
Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake 😂😂
Sasa mbona unajichekeshachekesha au umetoka kubeba mabox ya mo energyKwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?
Huo usajili wa mashabiki utafanywa na mjinga tu kama wajinga wengine wanaoamini kwamba Uto inamilikiwa na wananchi 😂😂
Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake 😂😂
Huna alili,Manara bado ni Simbana Huwezi hama Team hizi Mbili.Kwa akili yako finyu unadhani kuwa Uto haimilikiwi?
Huo usajili wa mashabiki utafanywa na mjinga tu kama wajinga wengine wanaoamini kwamba Uto inamilikiwa na wananchi 😂😂
Siku zote nyani huwa halionagi kundu lake 😂😂
Yaani hadi Kalpana, Mshana Jr na GENTAMYCINE nao wameuzwa..!! Hivi kwani MUUZAJI NI NANI..!!??Timu ya Simba imekaa kikolokolo tu. Timu imeuzwa na watu hawana taarifa jamaa anawachora tu na vikao vyenu vya wanachama mnavyotoana ngeu. Ponjoro katulia pembeni hana habari na Ng'ombe zake
Mangu na Jaribu tena
Soma post #18Mo Ameinunua Simba SC kutoka kwa nani?....
Tangu lini Sunday akawa Simba?Huna alili,Manara bado ni Simbana Huwezi hama Team hizi Mbili.