Yanga itumie nafasi hii adimu kujipatia mashabiki wanaohama Simba baada ya kusikia Mo Dewji ndio mmiliki wa Simba

Yanga itumie nafasi hii adimu kujipatia mashabiki wanaohama Simba baada ya kusikia Mo Dewji ndio mmiliki wa Simba

Sasa mbona unajichekeshachekesha au umetoka kubeba mabox ya mo energy
Vyovyote vile unavyoona najichekesha ni kwa sababu kuna wajinga kina pangu pakavu tia mchuzi wanataka kumiliki timu huku hawana hela, hasa wananchi ambao sukari tu imewashinda kununua.


Nakukumbusha Mr chura kwamba MO na GSM ni pipa na mfuniko, hao ndio wamiliki halali wa hizo timu 2
 
Umepaniki blazaaa..!!!! Yaani Mo akihesabu idadi ya mashina ya mkonge anayoyamiliki, na wewe umo..!!
Ndivyo ilivyo kwako, GSM akihesabu idadi ya vyura anaiwamiliki na wewe umo.

Tulia babu umaskini wa waasisi ndio ulisababisha hao wasela kuzinyakua hizo timu 😂😂
 
WATANZANIA NIWAJINGA SANA,...., NGOJA NIISHIE TU HAPA.
 
Kuna mashabiki wamevunjika moyo baada ya kusikia kuwa timu ilinunulia muda mrefu na Mo Dewji.

Ushauri wangu kwa Yanga watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa muda mrefu kuwa timu ni ya Mo Dewji.

Mashabiki ni wengi sana na hii ni fursa kwa Yanga SC kujipatia mashabiki wa kutosha.

Afisa Habari na Mawasiliano (Ali Kamwe)
Meneja Masoko wa Kimtandao (Privadinho)

Na viongozi wengine huu ni muda wenu sasa kuwakaribisha mashabiki kutoka upande wa pili.

GENTAMYCINE , OKW BOBAN SUNZU ,Kalpana .

Na wengine wengi mliokua mnatanua domo kuikejeli Yanga karibuni sana katika timu ya wananchi.
Mo ndio mmiliki halali hakuna wa kubisha,na viongozi wakibisha anajitoa na kuhamia singida leopards
 
Back
Top Bottom