Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Vyovyote vile unavyoona najichekesha ni kwa sababu kuna wajinga kina pangu pakavu tia mchuzi wanataka kumiliki timu huku hawana hela, hasa wananchi ambao sukari tu imewashinda kununua.Sasa mbona unajichekeshachekesha au umetoka kubeba mabox ya mo energy
Ndivyo ilivyo kwako, GSM akihesabu idadi ya vyura anaiwamiliki na wewe umo.Umepaniki blazaaa..!!!! Yaani Mo akihesabu idadi ya mashina ya mkonge anayoyamiliki, na wewe umo..!!
Ahahaaa unaishi wapi na hujui kuwa Uto ni mali ya GSMImenunuliwa lini?
Mo ndio mmiliki halali hakuna wa kubisha,na viongozi wakibisha anajitoa na kuhamia singida leopardsKuna mashabiki wamevunjika moyo baada ya kusikia kuwa timu ilinunulia muda mrefu na Mo Dewji.
Ushauri wangu kwa Yanga watumie muda huu kusajili mashabiki waliochukizwa na ukweli uliofichwa kwa muda mrefu kuwa timu ni ya Mo Dewji.
Mashabiki ni wengi sana na hii ni fursa kwa Yanga SC kujipatia mashabiki wa kutosha.
Afisa Habari na Mawasiliano (Ali Kamwe)
Meneja Masoko wa Kimtandao (Privadinho)
Na viongozi wengine huu ni muda wenu sasa kuwakaribisha mashabiki kutoka upande wa pili.
GENTAMYCINE , OKW BOBAN SUNZU ,Kalpana .
Na wengine wengi mliokua mnatanua domo kuikejeli Yanga karibuni sana katika timu ya wananchi.