njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi zimetoka wee mtu.Wewe unajuaje kama huyo uliyemquote sio mtu wa Dar? Watu wa Dar mna nini cha kusimama na watu wa mikoani, watu masikini na wavivu wasiokuwa na lolote ni hao wazaliwa wa Dar kama ulikuwa hujui.
75% ya hao unawaona wanatamba Dar ni raia wa mikoani na hata hao wanaoongoza hizo (Simba & Yanga) team 95% ni watu wa mikoani, mtu wenu mzaliwa wa dar (manara) ndio huyo ni chawa wa watu wa mikoani, unataka kusemaje?[emoji23][emoji23][emoji23].
Mimi nimekaa Dar 15 nikitokea mkoani kuna mshenzi gani mzaliwa wa Dar ataongea mbele yangu hapa Dar??
Wewe zungumzia maswala ya mpira, hayo mambo ya mikoani na Dar achana nayo. Stress zako za ufukara peleka kwemu.
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu
Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford
Ukiwa Bosi usipotumia akili watu wako wa chini wanakuingiza mkenge, Nafasi ya karia kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba
Hata mambo ya kijinga wao wanasema maadili, mpira ni Furaha na utani, Mpira sio sehemu ya ibada
Tusipokuwa makini kuna siku TFF wataanza kutuvalisha suti uwanjani badala ya jezi kisa jezi zinaacha matumbo wazi kwa akina Dada kama ile jezi ya simba
Huu ni wakati wa Yanga kumchana Wallace Karia live na kujitoa ushiriki wa mpira mwaka huu
Mapato ya TFF yatakaposhuka na wadhamini baadhi kuwakimbia akili itwakaa sawa TFF
TFF wataamua kumkumbatia karia au kumuomba ajiuzulu atuachie Timu zetu za ushindani toka enzi
Simba na Yanga ndio Ligi yenyewe,
Washamba wote wa bara wanashabikia timu za Dar es Salaam yaani Simba na Yanga badala ya timu za mikoa yao
Ukweli umekuuma na kukuumiza
Kwanini mnadharau timu za mikoa yenu?
Simba na Yanga ni za watu wa Dar
Nyie ndio wale mnaowakana wazazi wenu kisa wana maisha màgumu na duni, unaogopa kuwaambia watu huyu ni Mama au Baba yangu kisa umaskini
Shabikieni timu za mikoa yenu
Usimba na Uyanga utaondoka pale watu wa Mikoa ni mtakapojitambua
Simba akijitoa au Yanga hapo hakuna ushabiki tena
Mpira wa Tanzania ni Simba na Yanga timu za kariakoo za wazee wa misuli na makubasi