Yanga jiondoeni kwenye Ligi msimu huu, Waachane TFF wenyewe na Simba

Yanga jiondoeni kwenye Ligi msimu huu, Waachane TFF wenyewe na Simba

JITOENI HARAKA SANA NA MUANZE KULIPA FIDIA ZA MIKATABA YA WATU KUANZIA WACHEZAJI HADO MAKOCHA, TENA ONDOKENI HARAKA MNOO MNANUKISHA VINYESI TU
 
Wewe unajuaje kama huyo uliyemquote sio mtu wa Dar? Watu wa Dar mna nini cha kusimama na watu wa mikoani, watu masikini na wavivu wasiokuwa na lolote ni hao wazaliwa wa Dar kama ulikuwa hujui.

75% ya hao unawaona wanatamba Dar ni raia wa mikoani na hata hao wanaoongoza hizo (Simba & Yanga) team 95% ni watu wa mikoani, mtu wenu mzaliwa wa dar (manara) ndio huyo ni chawa wa watu wa mikoani, unataka kusemaje?[emoji23][emoji23][emoji23].

Mimi nimekaa Dar 15 nikitokea mkoani kuna mshenzi gani mzaliwa wa Dar ataongea mbele yangu hapa Dar??

Wewe zungumzia maswala ya mpira, hayo mambo ya mikoani na Dar achana nayo. Stress zako za ufukara peleka kwemu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi zimetoka wee mtu.
 
Mjitoe tu,co mnamwendekeza huyo chizi wenu ambaye aliwahi kuwaambia akiwa chama kubwa kuwa suseni muone
Ni muda muafaka wa kumuonyesha Wallace karia kuwa Ligi ya Tanzania ni Simba na Yanga tu, Wengine wote ni mbwembwe tu

Karia anahujumiwa na watu wake wa chini kama akina Clifford

Ukiwa Bosi usipotumia akili watu wako wa chini wanakuingiza mkenge, Nafasi ya karia kuna watu wanaitaka kwa udi na uvumba

Hata mambo ya kijinga wao wanasema maadili, mpira ni Furaha na utani, Mpira sio sehemu ya ibada

Tusipokuwa makini kuna siku TFF wataanza kutuvalisha suti uwanjani badala ya jezi kisa jezi zinaacha matumbo wazi kwa akina Dada kama ile jezi ya simba

Huu ni wakati wa Yanga kumchana Wallace Karia live na kujitoa ushiriki wa mpira mwaka huu

Mapato ya TFF yatakaposhuka na wadhamini baadhi kuwakimbia akili itwakaa sawa TFF

TFF wataamua kumkumbatia karia au kumuomba ajiuzulu atuachie Timu zetu za ushindani toka enzi

Simba na Yanga ndio Ligi yenyewe,

Washamba wote wa bara wanashabikia timu za Dar es Salaam yaani Simba na Yanga badala ya timu za mikoa yao
 
Yaani Utopolo Haji amewashika sehemu mbaya mno, mpaka wamewehuka yaani..!

Kwani miaka yote mlikuwa na Haji?
 
Mbna unahamisha magoli,hakika mwaka huu Kinye Fc.mtaweweseka sana
Ukweli umekuuma na kukuumiza

Kwanini mnadharau timu za mikoa yenu?

Simba na Yanga ni za watu wa Dar

Nyie ndio wale mnaowakana wazazi wenu kisa wana maisha màgumu na duni, unaogopa kuwaambia watu huyu ni Mama au Baba yangu kisa umaskini

Shabikieni timu za mikoa yenu

Usimba na Uyanga utaondoka pale watu wa Mikoa ni mtakapojitambua

Simba akijitoa au Yanga hapo hakuna ushabiki tena

Mpira wa Tanzania ni Simba na Yanga timu za kariakoo za wazee wa misuli na makubasi
 
msishangae mleta uzi ni shabiki wa Uto kaonyesha alichonacho kichwani kwake.dah,,,!kaaazi kwelikweli.
 
yule manara ni KIVURUGE kweli kweli.na kawapata wa kuwavuruga
Manara yule aliyekuwa akiwatukana utopolo.
Mimi kipindi anagombana na Barbara nilisema nitakuwa upande wa Barbara na manara aondoke . hauwezi kumtukana BOSS wako.
Wewe Nani?
 
Back
Top Bottom