Yanga kabla hawajacheza Usm Alger waitwe ikulu wakapate baraka za Mama ili wakaliwakilishe Taifa kwa uzalendo mkubwa

NASHAURI.

Wangekuwa kule kwa WANAUME.

Mamelodi.
WHYDAD.
Raja.
Simba.

WANGEFIKA FAINALI huku Ningekuwa WA kwanza KUWAOMBA WAENDE bungeni na IKULU.
Kipindi Simba inatolewa kwa penati na Orlando kombe hili mliisifu na kusema kuwa mmetoka kiume

Huna point kaa kimya meza Panadol upumnzike.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi Simba inatolewa kwa penati na Orlando kombe hili mliisifu na kusema kuwa mmetoka kiume

Huna point kaa kimya meza Panadol upumnzike.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkumbushe kuwa hizo Tambo zao za kuwa wapo top 10 CAF ni kwa sababu wana alama 35. Kati ya hizo 8 alizipata kwenye loser cup ya msimu uliopita kutokana na kuchukua kombe lao la robo fainali.
N.B. Zimekuwa 8 baada ya 2 ku depreciate in a straight line method.
 
Upuuzi mtupu na takataka ktk vitu vina haribu mpira ni hizi siasa.

Yatatokea yale ya taifa stars ndo tutapata akili, hivi hatujifunzi tu?

Namshauri rais wetu hersi asikubali upumbavu huo, na apige marufuku wana siasa kuisogelea team kambini kwa kisingizio cha hamasa. Hizi hamasa za kwenda kuwaona wachezaji ni upuuzi.

Hii mechi waachiwe makocha tu waamue wao na sio kuleta upumbavu wa hamasa.

Kama ni hamasa jitokezeni kwa wingi taifa na kushangilia kwa nguvu
 
Muda wa kwenda Ikulu haupo,sasa hivi ni mazoezi tu,huko Ikulu nendeni nyie
 
Mwanasiasa yupi mwenye Baraka? Unaleta vituko.

Muulize Mohammed Mwameja akuhadithie kilichowagharimu kwenye fainali ya bonanza la Mashhod Abiola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…