Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wanapita kimya kimya. [emoji2] [emoji2]7G, week, mbona siwaoni humu???
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
hawajiamini nini?Wanapita kimya kimya. [emoji2] [emoji2]
Itakuwa hivyo mkuu. [emoji2] [emoji2]hawajiamini nini?
Ndio kawaida yao..waache [emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa hivyo mkuu. [emoji2] [emoji2]
Mwisho was siku yanga bingwaKwenye mazoezi mbwembwe za kufa mtu !!!! haya sasa subiri ligi ianze wanaaibishwa na vitimu kama MBAO ambavyo havina mfadhili, wachezaji wao wa bie rahisi na wakate mwingine msosi wa shida,,, wao wamesajili kwa mbwembwe watu kutoka mbali na makocha wenye vyeti lukuki sasa kwenye mechi ni vituko ni kuruka ruka tuu ,, na wanaposhidwa kufunga huamini wamelogwa na akili zao huamia kwenye goli la mpinzani wao kwenda kufukua eti kuna hirizi.... subirini ligi ianze muone.....sasa hivi wao na pacha wqao mkia fc wamenunua magazeti yote.. ni kusifia wachezaji wanaowasajili tuu na ukiyasoma unaweza kudhani kuwa wamewazidi kiwango akina mesi na ronaldo....subiri uanjani sasa.....maweeeee!!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] ya nini kwingine tukasononeke. [emoji2] [emoji2]Hii timu inanipa raha sana..............team jangwan mpaka nazikwaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ni Yanga? Najitoa rasmi!! Ha ha ha haaaaaa!!!Sijutii kuipenda Yanga aisee
kila la heri katika kujitoaNa wewe ni Yanga? Najitoa rasmi!! Ha ha ha haaaaaa!!!
Nahamia Chimba a.k.a 7 O'clock kama ilivyoitwa na mdau hapo juu!!kila la heri katika kujitoa
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
sio mbaya mkuuNahamia Chimba a.k.a 7 O'clock kama ilivyoitwa na mdau hapo juu!!
Malinzi hajasajiliwa yanga mkuu hata tulivyochukua ubingwa hakuwepo hatakwenye utawala wa yanga
Ndo utajuta mr everestSijutii kuipenda Yanga aisee