Yanga kama 'mamtoni' mwanangu, hawa jamaa wawili watatisha sana

Yanga kama 'mamtoni' mwanangu, hawa jamaa wawili watatisha sana

Kwenye mazoezi mbwembwe za kufa mtu !!!! haya sasa subiri ligi ianze wanaaibishwa na vitimu kama MBAO ambavyo havina mfadhili, wachezaji wao wa bie rahisi na wakate mwingine msosi wa shida,,, wao wamesajili kwa mbwembwe watu kutoka mbali na makocha wenye vyeti lukuki sasa kwenye mechi ni vituko ni kuruka ruka tuu ,, na wanaposhidwa kufunga huamini wamelogwa na akili zao huamia kwenye goli la mpinzani wao kwenda kufukua eti kuna hirizi.... subirini ligi ianze muone.....sasa hivi wao na pacha wqao mkia fc wamenunua magazeti yote.. ni kusifia wachezaji wanaowasajili tuu na ukiyasoma unaweza kudhani kuwa wamewazidi kiwango akina mesi na ronaldo....subiri uanjani sasa.....maweeeee!!!
Mwisho was siku yanga bingwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ya sasa "Itaua mtu"

"Simba chinja chinja"

Ndio magazeti yanavyowanadi
 
7 G inasemekana wamefikia ghetto la mshkaji kule sauz,ndio maana hatuoni picha wakiwa hotelini
 
Back
Top Bottom