Yanga kama 'mamtoni' mwanangu, hawa jamaa wawili watatisha sana


Halafu hao MBAO wakishatuaibisha wanabeba Kombe au Kombe tunabeba wenyewe Wababe wa Mpira Tanzania Yanga ?
 
Siku izi morogoro kumbe mamtoni?kufulia kubaya sana Ajibu kapishana na fuko la hela kapewa gari mtumba anatamba kwelikweli Kesi mbona arushi picha anavyokula maboga?uturuki kutwa alikuwa anarusha moro vipi baba kesi ?ihi ndio dunia kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malinzi aendelee kukaa hukohuko maana tumechoka haya matimu yenu ya siasa. Mara huyu kazushiwa kupigwa 7 mara huyu amesajili vifaa. Kila siku ni porojo tu zisizo na matokeo chanya kwenye ligi yetu.
 
Malinzi aendelee kukaa hukohuko maana tumechoka haya matimu yenu ya siasa. Mara huyu kazushiwa kupigwa 7 mara huyu amesajili vifaa. Kila siku ni porojo tu zisizo na matokeo chanya kwenye ligi yetu.

Mkuu hizi timu zipo kabla Malinzi hajazaliwa. Kwa nini unamchukia binadamu mwenzio (Malinzi) kwa kiwango hiki?
 
Vipi Yanga FC mna mpango wa kuanzisha mashindano ya kukwepa ' Mishale ' na kuruka na ' Miamvuli ' angani?
Ile Yanga ya Manji ilikuwa na mbinu kali za ushindi ndani na nje ya Uwanja.
Yanga bila Manji ni timu ya kawaida na inafungika kirahisi na Simba sc.
Tuonane kwenye ngao ya hisani.
Mje kwa wingi wana Yanga mshuhudie manavyofungwa magoli mazuri kabisa.
Msihofu Kichuya ataanzia benchi.
Wale washabiki wenu wenye Presha na Kisukari tafadhari wasije uwanjani. Magari ya wagonjwa yatakuwa mawili tu na hayatawatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…