Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Sijutii milele hata kidogo mkuuNdo utajuta mr everest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijutii milele hata kidogo mkuuNdo utajuta mr everest
Kwenye mazoezi mbwembwe za kufa mtu !!!! haya sasa subiri ligi ianze wanaaibishwa na vitimu kama MBAO ambavyo havina mfadhili, wachezaji wao wa bie rahisi na wakate mwingine msosi wa shida,,, wao wamesajili kwa mbwembwe watu kutoka mbali na makocha wenye vyeti lukuki sasa kwenye mechi ni vituko ni kuruka ruka tuu ,, na wanaposhidwa kufunga huamini wamelogwa na akili zao huamia kwenye goli la mpinzani wao kwenda kufukua eti kuna hirizi.... subirini ligi ianze muone.....sasa hivi wao na pacha wqao mkia fc wamenunua magazeti yote.. ni kusifia wachezaji wanaowasajili tuu na ukiyasoma unaweza kudhani kuwa wamewazidi kiwango akina mesi na ronaldo....subiri uanjani sasa.....maweeeee!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]7 G inasemekana wamefikia ghetto la mshkaji kule sauz,ndio maana hatuoni picha wakiwa hotelini
Haina haja ya pole kwa maana sio maumivu
Hahaaha, kwikwikwiiiii......
Malinzi aendelee kukaa hukohuko maana tumechoka haya matimu yenu ya siasa. Mara huyu kazushiwa kupigwa 7 mara huyu amesajili vifaa. Kila siku ni porojo tu zisizo na matokeo chanya kwenye ligi yetu.
Ile Yanga ya Manji ilikuwa na mbinu kali za ushindi ndani na nje ya Uwanja.Vipi Yanga FC mna mpango wa kuanzisha mashindano ya kukwepa ' Mishale ' na kuruka na ' Miamvuli ' angani?