Yanga kama mnampenda manji mchukulieni form.

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Ili kukata mzizi wa fitna, kama kweli wanachama wanamhitaji manji na yeye amerithia, wamchukulie form ya kugombea, then wampitishe kama mwenyekiti wao kwa kura, kama TFF walikuwa na mtu wao walio plan itakula kwao.
 
Manji hahitaji fomu.
Tunataka awe mwenyekiti wa maisha wa Yanga.
Ni kama mfalme,
Hahitaji kuchaguliwa na watu.
 
Ukiona mijitu mizima inampigia magoti mtu aendelee kuiongoza timu yao ujue ndio uwezo wao wa kufikiri umefikia mwisho. Kujaribu kuwashauri ni sawa na kumshauri fisi apande mti unapoteza wakati wako.
 
kama kuna limbwata la kwenye soka....nadhani manji atakuwa analo.
 
Sio limbwata ni uvivu wa kufikiri na kupenda mteremko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…