Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manji hahitaji fomu.Ili kukata mzizi wa fitna, kama kweli wanachama wanamhitaji manji na yeye amerithia, wamchukulie form ya kugombea, then wampitishe kama mwenyekiti wao kwa kura, kama TFF walikuwa na mtu wao walio plan itakula kwao.
kama kuna limbwata la kwenye soka....nadhani manji atakuwa analo.Ukiona mijitu mizima inampigia magoti mtu aendelee kuiongoza timu yao ujue ndio uwezo wao wa kufikiri umefikia mwisho. Kujaribu kuwashauri ni sawa na kumshauri fisi apande mti unapoteza wakati wako.
Manji hahitaji fomu.
Tunataka awe mwenyekiti wa maisha wa Yanga.
Ni kama mfalme,
Hahitaji kuchaguliwa na watu.
Kawaposa Yangafrika ndio maana wameng'ang'ania, kwani we huna habari ?Aisee.. manji akija kukuposa atakukosa kweli?