kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Mimi nikiwa mwana Simba napenda kuwapongeza wachezaji wetu kwani walijitahidi kutengeneza nafasi sana hasa kipindi cha pili lakini bahati haikuwa yetu.
Yanga kama akina Mwadui,Prison,na wengineo kama hawa,hupata faraja sana kuifunga Simba kwani wanajua ukubwa wake.
Wao huikamia sana na wakipata goli moja hutumia nguvu zote kulilinda.
Hawa hawa yanga wamepata nafasi nyingi sana kucheza kimataifa kuliko Simba lakini Simba ndiye anabaki kuwa timu yenye mafanikio zaidi kuliko timu yoyote hapa nchini kimataifa.Hapa ndio tunapima ubora wa timu na si mechi ya derby.
Yote kwa yote niwapongeze watani kwa kufanikiwa kuikamia mechi na kufunga goli moja.