ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hakika kwetu ni furaha tele siyo makasiriko kuelekea unbeaten ya 50. Niupongeze uongozi, bechi la ufundi kwa kusikia kilio chetu wananchi na tunashukuru tangu tulipomtoa Mwarabu timu imekuwa mpya, wachezaji karibu wote wanatupa thamani yao halisi, sijui kama walipelekwa kwa Mwamposa au la?
Tuombe tuendelee na moto huo huo tuweke rekodi ya Afrika na kuishangaza Dunia. Tuombe uongozi asipungue mchezaji hata mmoja kwa wale wanaoanza, zaidi tufanye replacement kiasi, mfano twaweza pia peleka wawili Singida na tukaokota federico.
Mungu tubariki.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app