GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Avatar yako tu, nimekuelewa sana.Yanga watafungwa 3-1 na yanga ndio wataanza kupata goli
Mi pia naipenda yangaNaipenda yangaaaaa
Ha ha ha umemuelewa nini huyo ni njano ila haiamini timu yakeAvatar yako tu, nimekuelewa sana.
Muda mwingine rangi ya kisiasa inakusaidia kudumisha uzalendo [emoji1]Nawatakia kila la kheri Yanga huko Takorada city leo na kama wakifanya haya yafuatayo nina uhakika Yanga itafanikiwa:
Japo nikiri kabisa na najua wengi mnanijua kuwa Mimi ni Simba Sports Club wa KINDAKI NDAKI kabisa ila kama leo Wachezaji wa Yanga watakaza ile kisawa sawa sina wasiwasi kuwa leo Yanga itatushangaza wengi kwa kuibuka na ushindi.
- Wacheze team work muda wote wa mchezo.
- Wachezeshe wingers wenye speed kama Mahadhi na Msuva ili wawachoshe half backs wa Medeama na wasiweze kupanda.
- Obren Chirwa na Donald Ngoma wawe twin strikers leo na Amisi Tambwe " akodoe " kwanza benchini.
- Iwe isiwe lazima leo mwenye timu yake Haruna Fadhil Hazikimana Niyonzima aanze na mbele yake awepo " fundi " mwenzie Thabani Kamusoko kwani mechi ya Dar Kiungo cha Yanga kilikufa " kibudu ".
- Oscar Joshua asianze na ikibidi hata Jezi asivae leo na nafasi yake acheze Mbuyu Twite hasa kwa sifa yake kuu ya kuwa all rounder player na ninaamini ataimudu vilivyo.
- Japo kwa sasa Yanga hawamuamini Nahodha wao Nadir Haroub Cannavaro ila kwa aina ya " shughuli " yake ya KAZI KAZI na ule uhamasishaji wake leo ana umuhimu mno aanze na acheze dakika 90 kama hatopata maumivu yoyote.
- Mabeki wa kati, kushoto na kulia wasisahau muda mwingine kuwachezea hawa Madeama mpira wa Ndondo ili kuwatisha kama ambavyo Kelvin Patrick Yondani alivyokuwa akiwafanyia hapa Dar kwa kuwapiga piga " brush " kila mara Wachezaji wa Medeama hadi wakawa kila wakienda golini kwa Yanga wanamuamkia Shikamoo Kelvin Yondan kisha wanamuachia mpira kwa kumuogopa. Beki unatakiwa " utishe " siyo unacheza tu " kinyoro nyoro ".
Kila la kheri Yanga Football Club.
Kwa hiyo unapenda preshaMi pia naipenda yanga
Umeanza uchuro mkia ebu acha unaaMungu saidia yanga afe 3-0 heshima irudi kitaa
Hawawezi kutuangusha hawa, we si unakumbuka hata pale Taifa, Medeama walipakua Matandu tu, leo wanapakua kila kitu, Wali mpaka ukoko! Leo nawahi siti ya mbele kabisa na jezi yangu ya Juventus.Kila la heri Medeama. Msituangushe jamani.
Mkia weDakika ya 6 Kelvin Yorndan anaonyeshwa kadi nyekundu.