Yanga katika vita kubwa Kombe la Shirikisho leo

Yanga katika vita kubwa Kombe la Shirikisho leo

1.Asilimia 90. ya mipira wanaopewa maforward wa yanga ili kufunga huishia kupigwa juu ama pembeni au kumlenga kipa na kuwasababishia pressure isio ya lazima washabiki. Warekemishe na kujifunza angle of depression katika shooting.

2.Katika kipindi cha kwanza kuna kauzubaifu fulani mtu anapokuwa na mpira na kudababisha adui aje kuuchukua kiulaini wakati anatafakari nini cha kufanya.

3.Blind pass hizi zimekubuhu kwenye timu yetu na mara nyingi unakuts mtu anampasia adui au anapigs pasi dhaifu imbayo hzimfikii mlengwa na kuwa intercepted na adui

4.Mabeki kucheza rafu zisizo zaazima eneo hatsri.Inabidi kama ni rafu wajue wakati sahihi ns eneo sahihi la kufanya hivyo.

5.Wachezaji wawe wepesi wakosoma ni upandegani wa uwawanja ni raisi kupita na ni upande gani ni kugumu hii ni kwa timu zote ili kuwasaidia kubadili uwanja pale ambapo mchezaji tegemeo anapobanwa sana au beki anapokiwa uchochoro upande wao waongeze nguvu na upande wa maadui watumie mwanya huo.

6.Mechi iliyopita midle ilikatika sana na kuruhusu maadui kumiliki mpira katikati wakirekebisha mambo yatakuwa poa
 
Mwenye link ya kuangalia online naomba atuwekee wengine muda huo hatutakuwa karibu na tv
 
Nawatakia kila la kheri Yanga huko Takorada city leo na kama wakifanya haya yafuatayo nina uhakika Yanga itafanikiwa:
  1. Wacheze team work muda wote wa mchezo.
  2. Wachezeshe wingers wenye speed kama Mahadhi na Msuva ili wawachoshe half backs wa Medeama na wasiweze kupanda.
  3. Obren Chirwa na Donald Ngoma wawe twin strikers leo na Amisi Tambwe " akodoe " kwanza benchini.
  4. Iwe isiwe lazima leo mwenye timu yake Haruna Fadhil Hazikimana Niyonzima aanze na mbele yake awepo " fundi " mwenzie Thabani Kamusoko kwani mechi ya Dar Kiungo cha Yanga kilikufa " kibudu ".
  5. Oscar Joshua asianze na ikibidi hata Jezi asivae leo na nafasi yake acheze Mbuyu Twite hasa kwa sifa yake kuu ya kuwa all rounder player na ninaamini ataimudu vilivyo.
  6. Japo kwa sasa Yanga hawamuamini Nahodha wao Nadir Haroub Cannavaro ila kwa aina ya " shughuli " yake ya KAZI KAZI na ule uhamasishaji wake leo ana umuhimu mno aanze na acheze dakika 90 kama hatopata maumivu yoyote.
  7. Mabeki wa kati, kushoto na kulia wasisahau muda mwingine kuwachezea hawa Madeama mpira wa Ndondo ili kuwatisha kama ambavyo Kelvin Patrick Yondani alivyokuwa akiwafanyia hapa Dar kwa kuwapiga piga " brush " kila mara Wachezaji wa Medeama hadi wakawa kila wakienda golini kwa Yanga wanamuamkia Shikamoo Kelvin Yondan kisha wanamuachia mpira kwa kumuogopa. Beki unatakiwa " utishe " siyo unacheza tu " kinyoro nyoro ".
Japo nikiri kabisa na najua wengi mnanijua kuwa Mimi ni Simba Sports Club wa KINDAKI NDAKI kabisa ila kama leo Wachezaji wa Yanga watakaza ile kisawa sawa sina wasiwasi kuwa leo Yanga itatushangaza wengi kwa kuibuka na ushindi.

Kila la kheri Yanga Football Club.
Muda mwingine rangi ya kisiasa inakusaidia kudumisha uzalendo [emoji1]
 
Yanga leo ataiduwaza Medeama....kama TZ ilivyowah kuiduwaza Burkinabe enzi za Maksimo kwa bao murua la Erasto Nyoni.
 
Back
Top Bottom