Yanga katwaa alilotwaa yaliyobaki hana chake

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Sasa ni rasmi haina mbambamba, kuwa timu yetu hii pekee iliyobaki kimataifa itapambana kiume nje ndani ila matokeo ni kuwa atabaki na alichonacho, mwaka huu ni tasa sio wa kutwaa bali wa kufika ila caanan kuvuka tambo nchi ya ahadi hawafiki.

Kifupi kabisa kimataifa safari itaishia Algeria kwa USM na kitaifa wanalamba lamba Azam FC wanamaliza kazi pale Mkwakwani.

Hongereni Yanga Mabingwa wa 2022-23 wa Ligi kuu NBCPL.
 
kuna watu YANGA inawatesa, inawapa sonona kuliko wenye YANGA yao.... poleni sana
 
Mashabiki wa Yanga Wala msitegemee maajabu yoyote kutoka kwa timu kwenye mechi ya marudiano.

Ndo imetoka hiyo!
 
KWA KAWAIDA FAINALI NDO KITU CHA MWISHO KTK MASHINDANO NA SIO ROBO FAINALI SO KILA MTU ANAJUA YANGA ANAENDA KUWA BINGWA PALE ALGERIA NA PIA HIYO NDO ITAKUWA MECHI YA MWISHO YA MSIMU WA SHIRIKISHO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…