Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Sasa ni rasmi haina mbambamba, kuwa timu yetu hii pekee iliyobaki kimataifa itapambana kiume nje ndani ila matokeo ni kuwa atabaki na alichonacho, mwaka huu ni tasa sio wa kutwaa bali wa kufika ila caanan kuvuka tambo nchi ya ahadi hawafiki.
Kifupi kabisa kimataifa safari itaishia Algeria kwa USM na kitaifa wanalamba lamba Azam FC wanamaliza kazi pale Mkwakwani.
Hongereni Yanga Mabingwa wa 2022-23 wa Ligi kuu NBCPL.
Kifupi kabisa kimataifa safari itaishia Algeria kwa USM na kitaifa wanalamba lamba Azam FC wanamaliza kazi pale Mkwakwani.
Hongereni Yanga Mabingwa wa 2022-23 wa Ligi kuu NBCPL.