Yanga kaweka 6 simba anawekwa ngapi niko pale kwa wakala:;;;

Yanga kaweka 6 simba anawekwa ngapi niko pale kwa wakala:;;;

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mjomba najua uko huku unasomaq

Nikukumbushe tyu ile safari yyeti ya kila siku sijui makundi sijui lwenda robot

Inaishia leoo

Mjomba nisamehe sana sijaandika kaa uchungu bali nimewaza tu kama yanga walipiga 6

Leo mnawekwa ngapi

Mjomba jpili njema
 
7
 
Ushindi ni ushindi tu muhimu Tanzania ipitishe timu mbili...
 
IMG-20240915-WA0095.jpg

Ameeen🙏
 
Simba kumfunga AAT ni sawa na kumwambia kiwete kuwa inuka ukimbie.
 
Back
Top Bottom