Yanga kimasihara mnapoteza ubingwa

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Mechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhani Kama wa physics advance

Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje

Waliosema yanga ipo vizur wajitathmin Sana Tena mno

Kila mwaka tunaanza vizuriii tunamaliza vibaya

Hakika dalili ya mvu n mawingu hata hatujui wapi panapovuja

NasikIa eti Morrison naye anakuja kutuvuruga Zaid hawakumbuki muda na gharama tuliopoteza kwake

Mpigaji penati kila siku anajulikana ni Shaban Djuma Sasa Mayele aliendaje pale kupiga penati?

Inaonekana wachezaji wanajali rekodi binafsi badala ya timu Kwanza?

Ubingwa umewekwa rehani na wao wenyewe Simba wanajua nn ya maana ya ubingwa hawatakubali katu kupoteza mechi hata moja

Na Simba watatumia Kila aina ya fitina tushindwe

Yanga raundi ya pili huwa Kama nyuki wa mashineni kelele nyingii kumbe hang'ati

Haya ndyo maajabu yapo yanga TU timu inampambania mchezaji mmoja aweke rekod binafsi na SI kuipambania timu

Ikumbukwe mayele hakujiamulia kupiga penat ile walikubaliana

Itatuchukua muda kidogo kujua thaman y nembo na s thaman ya mchezaji binafs

Tunakuza brand ya mtu na SI brand ya timu mwishowe yawe ya Morrison tulimkuza akavimba akatupasu katikati had leo makovu tunayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…