Yanga kimasihara mnapoteza ubingwa

Yaan ubingwa uko Rehani kwa gap la point 11? Game 7 zimebakia. Aisee, kwahiyo timu isitoe droo yaan iwe inashinda kila game?? Acha uzwazwa.
Muda ndyo mwalimu mzuri mkuu sare n ya 3 hi kumbuka Simba akishinda inabak point 7
 
Yaan ubingwa uko Rehani kwa gap la point 11? Game 7 zimebakia. Aisee, kwahiyo timu isitoe droo yaan iwe inashinda kila game?? Acha uzwazwa.
Hawa wengine wamevamia mpira wanataka kila siku tushinde sisi tu kwani sisi ni kina nani? ajabu ni kwamba anae zidiwa points 8 na kila takwimu anaonekana bora
 
Kagera H. ........

Azam. A.......hawa ndugu zenu utelezi


Geita A......
Mechi za Makolo

Chukueni kwanza hizo 9 ndiyo tutajua chakufanya
 
Kumbe simba bado anamechi ngumuπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhan Kama wa physics advance

Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje...
Hapo ndo inapokuja tofauti kati ya form na class... yanga wana safari ndefu sana... watakimbiza kwa muda ila kuna wakati watakata moto..... ila simba ya sasa ina class yake.... ina mwendo wake, inajua kuchagua wapi pa kuweka nguvu na kwa wakati gani.... kuanzia mechi ya juzi saiv ni mwendo 6-0, 2-0, 5-1 hadi ubingwa...
 
Ubingwa wa mapinduzi labda
 
Mechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhan Kama wa physics advance

Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje...
Simba sasahivi anafanya ushirikina mkubwa wa kuwafunga wachezaji wa yanga wasizione nyavu...
Na hii wameongeza dose za majini tangu watolewe kule na orlando
 
Yanga atapoteza mbeya city, coastal, dodoma fc na biashara. Sare kwa mtibwa na polisi na atashinda zilizobaki.

Simba ndio mabingwa msimu huu wa 2021/22.

Nguvu moja.
One team one dream!

Hawataamini macho yao 😁😁😁
 
sumu ya panya mende kunguni imefika Utopoloni washajaa sumu mwilini wamechoka sana.
Ntibazonkiza,Jesus Moloko wameschoka sana.
Aucho na Bangala ni swala la muda tu.
 
Leo malalamiko fc mnamkana mzee wa kutetema.
 
Ligi bado mbichi
 
Watani ubingwa ni wenu mwaka huuu,,, Simba tumeisha kubali hilo tunajipanga kwa mwaka kesho na FA
 
Simba anakimbiza mwizi wake kimyakimya [emoji1321][emoji1321][emoji1321]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…