Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda ndyo mwalimu mzuri mkuu sare n ya 3 hi kumbuka Simba akishinda inabak point 7Yaan ubingwa uko Rehani kwa gap la point 11? Game 7 zimebakia. Aisee, kwahiyo timu isitoe droo yaan iwe inashinda kila game?? Acha uzwazwa.
Hawa wengine wamevamia mpira wanataka kila siku tushinde sisi tu kwani sisi ni kina nani? ajabu ni kwamba anae zidiwa points 8 na kila takwimu anaonekana boraYaan ubingwa uko Rehani kwa gap la point 11? Game 7 zimebakia. Aisee, kwahiyo timu isitoe droo yaan iwe inashinda kila game?? Acha uzwazwa.
Kwahiyo akishinda simba anapata point 4 sio??Muda ndyo mwalimu mzuri mkuu sare n ya 3 hi kumbuka Simba akishinda inabak point 7
Hauja ona sare nne za Simba umeona za YangaMuda ndyo mwalimu mzuri mkuu sare n ya 3 hi kumbuka Simba akishinda inabak point 7
Hapo ndo inapokuja tofauti kati ya form na class... yanga wana safari ndefu sana... watakimbiza kwa muda ila kuna wakati watakata moto..... ila simba ya sasa ina class yake.... ina mwendo wake, inajua kuchagua wapi pa kuweka nguvu na kwa wakati gani.... kuanzia mechi ya juzi saiv ni mwendo 6-0, 2-0, 5-1 hadi ubingwa...Mechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhan Kama wa physics advance
Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje...
Ubingwa wa mapinduzi labdaHapo ndo inapokuja tofauti kati ya form na class... yanga wana safari ndefu sana... watakimbiza kwa muda ila kuna wakati watakata moto..... ila simba ya sasa ina class yake.... ina mwendo wake, inajua kuchagua wapi pa kuweka nguvu na kwa wakati gani.... kuanzia mechi ya juzi saiv ni mwendo 6-0, 2-0, 5-1 hadi ubingwa...
Simba sasahivi anafanya ushirikina mkubwa wa kuwafunga wachezaji wa yanga wasizione nyavu...Mechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhan Kama wa physics advance
Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje...
One team one dream!Yanga atapoteza mbeya city, coastal, dodoma fc na biashara. Sare kwa mtibwa na polisi na atashinda zilizobaki.
Simba ndio mabingwa msimu huu wa 2021/22.
Nguvu moja.
Ligi bado mbichiMimi ni Simba damu damu nikiri tu wazi Yanga atakua bingwa huu msimu no matter what.
Ila kinachonipa furaha ni kwamba yanga atakua bingwa kwa utofaut wa points chache tofaut na wao walivyokuwa wanataka ,pia watachelewa kidogo kutangazwa kuwa mabingwa.
Ishu ya pili ambayo naweza sema inawatafuna yanga ni ujinga wa kutaka afunge mayele tu ,jaman yule ni mchezaji na timu ni nembo ,wangapi walipita yanga na wakaiacha?
Yaan mtu amekuja yanga Ana follow buku tano tu now Ana followers kibao huko ig na kwa ujinga wetu sisi watz tunaabudu Sana wachezaji wa nje kuliko hata nembo za vilabu vyetu.
Leo hii furaha ya Wana yanga imebebwa na mayele kias kwamba kila mchezaji anampambania mayele ili wapate kutrend mitandaoni ,huo ni ufala kabisa watani zangu mbadilike kabisa na wachezaji waambiwe kuwa kila mchezaji anapaswa kufunga .