YANGA kitakachowakuta huko Shirikisho hamtakaa msahau, angalia hapa

YANGA kitakachowakuta huko Shirikisho hamtakaa msahau, angalia hapa

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
FB_IMG_1665997298218.jpg

"Hello Babra, hebu wapangeni na Rs Berkane, halafu mechi ya kwanza waanzie Dar. Kumbuka walisema hili ni Kombe la Losers"

"Sawa mkuu ndiyo nipo kwenye mfumo hapa."

Poleni Utopolo! Hapa ndiyo mmepanda mtumbwi wa vibwengo sasa!
😂😂😂😂
 
Yanga majinga kweli.Kwa akili ya kawaida tu walidhani watatoboa kule Sudan?Mafi ya kuku kabisa.😂😂😂😂😂
 
Playoff ya shirikisho nadhani inapangwa kesho na sheria inafahamika timu yenye point ndogo itapangwa na timu yenye pointi nyingi

Na timu ndogo lazima ianzie nyumbani
Kwa hiyo mambwiga bado wako kikaangoni
 
View attachment 2389961

"Hello Babra, hebu wapangeni na Rs Berkane, halafu mechi ya kwanza waanzie Dar. Kumbuka walisema hili ni Kombe la Losers"

"Sawa mkuu ndiyo nipo kwenye mfumo hapa."

Poleni Utopolo! Hapa ndiyo mmepanda mtumbwi wa vibwengo sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na dada yenu kazi anayo mara hii

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom