Yanga kuanzia round ya pili CAF? Uongo wa Haji Manara mwezi mtukufu

Sasa Caf wanaitumia hii hii list kama walivyoitumia mwaka huu kuianzisha simba round ya kwanza na wakubwa wenzake afrika, una swali jingine mr utopwinyo?
Onyesha hiyo wanayoitumia wao kupanga nani anaanzia Raundi ipi.
 
makanjanja nayo yanshangaliga kabisa robo fainali iliyochezwaga mechi 6
Huna unalolijua mzee.
Zamani makundi ndio iliitwa ROBO FAINALI.

Kulikuwa na makundi mawili tu. Kila kundi ni timu 4. Aina hii ya makundi imebadilshwa miaka mitano hii tu, ili kuleta Robo fainali yenye mfumo wa mtoano na sio makundi.

Hata 2003 Simba alikuwa Robo fainali kama hii akiwa kundi moja na Enyimba ya Nigeria.

Afrika tulikuwa na aina yetu ya kupanga mashindano yetu. Hata AFCON makundi yalikuwa machache zamani, na sasa umeona yanaongezwa ili kuleta ladha halisi.

Nyie mliojua mpira mara baada ya Azam kuanza kurusha ndio mnatuharibia uchambuzi sahihi wa mpira.
 
Si ndo hiyo hapo uliyopost wewe mkuu? Uko sahihi sana simba haiwezi kuwa ya 12 africa,kamwe haiwezekani
hivi mkuu ata kama tukiacha huu tunaoita utani wa jadi, hivi kabisa mtu mwenye Akili timamu anaweza kuleta club Ranking ambayo Hadi leo hii inaonesha kuwa hizi team ziko juu ya team kama Rs berkane

Asante kotoko
Power dynamos
Plateau utd
Dolphins FC
Al merrick
Bidvest
Akwa utd
Highlanders
Enyimba
Motema pembe
Saint Eloi Lupopo
Djoliba AC

Kweli kuna gharama kubwa Sana za kuwa Mjinga kuliko kuwa mwelevu, unakuta huyu mtu ana watoto na wao wanatakiwa kuwa proud na Baba yao
 
Kweli kabisa dah sasa nashangaa hapa majitu yasiyojua soccer yanambishia a person with albinism kwamba yanga hawataanzia round ya kwanza,watu wamenzia kujua soka juzi tu albino yuko sahihi kabisa na ndo msimamo wa young africans
 
Ulitarajia nibishane na mtu wa hivyo,nime support ili kimfurahisha hao bidvest wako dissolved tangu 2016 mafanikio yao makubwa ninkumaliza wa tatu psl na kufika makundi afrika walipowatoaga azam
 
Ulitarajia nibishane na mtu wa hivyo,nime support ili kimfurahisha hao bidvest wako dissolved tangu 2016 mafanikio yao makubwa ninkumaliza wa tatu psl na kufika makundi afrika walipowatoaga azam
Of course me nilikuelewa vizuri Sana, na njia ya kuongea na Mjinga ni kujifanya Mjinga zaidi yake Hadi ashangae

ila hoja yangu ni kwamba mtu mwenye Akili timamu anawezaje kufanya/kusema hayo? Mbona binadamu tumeumbwa na aibu sana sasa inakujae mtu anasema ujinga na haoni aibu
 
Jana wamefurahi sana kuambiwa wanaanzia round ya kwanza sasa ukibisha unawaumiza nafsi zao
 
Ok, kwahiyo wanatumia assesment ya 5 years in a row ktk accumulation ya hizi point ambazo club imekusanya throug stages mbalimbali sio?

If so, Simba ataanzia tena Second Round as timu kama Pyramid, RS Berkane hawawezi kuwa top 2 kwenye ligi zao, na ukizingatia Afrika hatuna utaritibu wa kupeleka timu 4 Champions league kama ilivyo Ulaya, ingawa sheria inasema timu zinapaswa kuwa 68 katika kila season ya CCL.

Kwa hali hiyo Simba waanze kufanya scouting mapema ya kupata wachezaji bora ambao watacheza sio kutokana na motisha bali kwa uwezo wao.
Watu kama Bocco, Wawa, Bwalya, Lwanga, Nyoni etc wangetafutiwa mbadala wake katika kuboresha kikosi kazi.

Pia kwa upande wa Yanga na Azam waboreshe vikosi vyao ili angalau tupate timu 3 kwenye makundi iwe CCL au CCCL.

Kwa Yanga wanapaswa kutafuta mbadala wa Moloko, Yasin, Mwamnyeto, Makambo, Mauya, Ushindi nk.

Nimebahatika kuangalia mazoezi ya Timu kama Kaizer Chiefs nilipokuwa Afrika kusini, wenzetu wamewekeza haswa, uchawi upo kama ilivyo huku ila zaidi ni uwekezaji.
 
Ni kazi sana kutetea uwongo,mwenzio Manara aliosema huu uwongo wa kwenda straight kwenye round ya kwanza CL sasa hivi kapiga kimya kama siyo yeye.Mkuu hata ungejaza ukurasa mzima kwa comment ya kufafanua,hapa ni unapaka rangi upepo
 
Jakya nani waandishi kiukweli wanmuogopa manara aisee!
Ndo mana wanisema Simba vibaya sababu haina tabia ya kujibizana na watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…