Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Huo ulazima unakuja baada ya kuahidiwaKwanza bonus huwa inatolewa kwa kufikia target flani na pale hiyo target ikifikiwa inakua sio reward tena bali inakua lazima na ndo maana inaandikwa kwenye mkataba.
Yanga kuingia makundi kunaipa mileage Sportpesa in terms of numbers of matches to bet.Huo ulazima unakuja baada ya kuahidiwa
Ahadi ni deni
Usipo ahidiwa hutapata hiyo nguvu ya ku demand
Na ndio maana ipo mikataba imewekwa bila offer ya bonus lakini ikatokea ume achieve kitu kikubwa kumfurahisha mfadhili basi utakuta umepewa reward ambayo haikuwepo kwenye mkataba
Hebu acha ujuaji wa kijingaHuo ulazima unakuja baada ya kuahidiwa
Ahadi ni deni
Usipo ahidiwa hutapata hiyo nguvu ya ku demand
Na ndio maana ipo mikataba imewekwa bila offer ya bonus lakini ikatokea ume achieve kitu kikubwa kumfurahisha mfadhili basi utakuta umepewa reward ambayo haikuwepo kwenye mkataba
It'll be dumb to think that this is a matter of commom sense (If there's one at all).Suala la Yanga halihitaji degree ya sheria. Ni common sense tu
Yanaeleweka na nani?Hebu acha ujuaji wa kijinga
Mbona maelezo yangu hapo juu yanaeleweka kabisa sasa hapa hueleweki unapinga au unaelezea nini?
Bonus imewekwa kwenye mkataba kabisa kwamba nikishika nafasi ya 1 napata hiki sasa nimepata nafasi hiyo bonus hapo ni lazima inipewe sio reward tena.
Mileage kwa namna gani wakati nembo hai display kwenye Jersey?Yanga kuingia makundi kunaipa mileage Sportpesa in terms of numbers of matches to bet.
Na mechi hzo siyo kama za Yanga na kurugenzi ambapo odds zake zipo rahisi.
So, of course kuna mechi sita za high profile ambazo betting inahitajika na hiyo inaongeza pato la Sportpesa by far by just being associated with Yanga.
Kwahiyo hapa unachobisha nini sasa?Yanaeleweka na nani?
Yangu mimi ndio hayaeleweki? Mbona unapinga?
Unaelewa maana ya bonus kwanza?
Kuweka bonus kwenye mkataba ndio kumeihalalisha ionekane ni ya lazima lakini ingewezekana kusaini mkataba bila ya bonus na mkaendelea kuchukua pesa za uwekezaji tu
Soka la Tanzania.View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.
Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.
Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?
Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.
SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.
Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.
Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?
Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Ingewezekana na pia isingewezekana. Usielemee upande mmoja.Yanaeleweka na nani?
Yangu mimi ndio hayaeleweki? Mbona unapinga?
Unaelewa maana ya bonus kwanza?
Kuweka bonus kwenye mkataba ndio kumeihalalisha ionekane ni ya lazima lakini ingewezekana kusaini mkataba bila ya bonus na mkaendelea kuchukua pesa za uwekezaji tu
Sportspesa ipo associated na Yanga. Kuna kundi kubwa sana la washabiki wanaotumia Sportpesa just because they are associated with Yanga. Thats a guaranteed mileage.Mileage kwa namna gani wakati nembo hai display kwenye Jersey?
Hiyo post "inaelewesha" haipo "kiubishani"Kwahiyo hapa unachobisha nini sasa?
Mikataba yote huwa na clause ya usiri.Bila kuwa na PDF ya mkataba wote wa Yanga na Sportpesa hapa, hizo zingine zote ni speculations.
Siyo yote.Mikataba yote huwa na clause ya usiri.
Labda ndio jemedari mwenyewe..😂😂Naona unakuwaga wa kwanza kumkwoti jemedari mara kwa mara
Nimekuuliza SportPesa wanapataje mileage kwenye Jersey ambayo hakuna nembo yao?Sportspesa ipo associated na Yanga. Kuna kundi kubwa sana la washabiki wanaotumia Sportpesa just because they are associated with Yanga. Thats a guaranteed mileage.
Kuna washabiki wameacha kubet MBet kwa sababu ya Simba. Sports fans are a very loyal consumer group na wana tabia hizo, usibishe tu mambo kujiridhisha.
Kuwa na nembo kifuani au kutokuwa, watu wanajua Sportpesa ni mdhamini mkuu wa Yanga. Sasa kama hutakuwa na nembo kifuani (Yaani huruhusiwi), basi usitupangie.
Hao Utopolo labda wametengeneza crisis ili wapate upenyo wa mjadala wa kimaslahi toka sportpesa kwenye eneo ambalo wanahisi hawakuwa makini au wanadhulumiwa.View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.
Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.
Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?
Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.
SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.
Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.
Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?
Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Dar es Salaam. Uongozi wa SportPesa mapema leo Februari Mosi, 2023, umetoa taarifa ya kusikitishwa na uongozi wa Yanga kukiuka makubaliano ya kimkataba na kuzindua jezi mpya zenye nembo ya mdhamini mwingine.View attachment 2503200
Wakati mtaani watu wanasema kwenye mashindano ya kimataifa Sportpesa hawatoi hela.
Kwenye mkataba wa Yanga SC na SportPesa katika hatua hizi za makundi, robo fainali, nusu fainali na fainali kuna bonasi kutoka Sportpesa kwenda Yanga SC iwapo watashinda mechi, kuingia robo fainali, kuingia nusu fainali, kuingia fainali na kuchukua ubingwa.
Sasa kama mdhamini analipia yote hayo na anakuambia hataki uweke kitu kingine hapo unawezaje kumkiuka?
Wakati mwingine tufanye mambo kisasa kidogo, nafahamu Yanga SC na SportPesa walikuwa kwenye majadiliano Yanga wakiomba kutumia eneo ambalo SportPesa wanastahiki kuwepo kimkataba.
SportPesa wakakataa kwamba hawapaswi kufanya hivyo.
Kimkataba pia SportPesa wanahaki ya kusema nani awekwe hapo nani asiwekwe na kila upande unafahamu hilo.
Unabaki unajiuliza haya yametokeaje ili hali mkataba ni makubaliano ya kisheria ambayo yanapaswa kuheshimiwa na pande zote zilizomo kwenye huo mkataba?
Kuna mahala pana tatizo ingawa hatutaki kukubali na kusema ukweli.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
Sisi tunafanya reasoning kupitia kauli zao tuSiyo yote.
However, sasa kwanini mnajifanya mnaujua mkataba na kulaumu upande mmoja?