Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.
Wadau mnisaidie
Wadau mnisaidie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hupangiwi cha kusema.Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.
Wadau mnisaidie
Zuena FC. Ila waganda wabaya sana 😂😂Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.
Wadau mnisaidie
Kweli wabaya maana walichokufanya siku yako hutasahau.Zuena FC. Ila waganda wabaya sana 😂😂
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.
Wadau mnisaidie
Shida iko wapi kwani? Kama unaenda mahali kusherehekea hiyo siku ya wanawake duniani, hakuna shaka. Tutakuja kukupa matokeo.Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.
Wadau mnisaidie