Yanga kucheza na Bamako siku ya wanawake duniani imekaaje hii

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.

Wadau mnisaidie
 
Kwani kuna shida yoyote? Au ugumu wa mchezo utakuwepo kwasababu tu ni siku ya Wanawake.
 
Hiyo tarehe kuwa ya wanawake unaijua wewe lakini CAF wameweka kwenye ratiba Kwa mechi za Confederation cup. Sio yanga tu Kuna Asec memosas, Rivers, lupopo, pyramid, Far Rabat, TP mazembe n.k jumla ya mechi tano na timu kumi zinzcheza hiyo siku.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.

Wadau mnisaidie
Zuena FC. Ila waganda wabaya sana 😂😂
 
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.

Wadau mnisaidie

Yaani upo km lizuzu,,, alimradi uanzishe uzi
Kwani shida ipo wapi sasa
Ikiwa Bayern vs PsG wanacheza tarehe 8/3/2023
 
Nasikia Yanga watacheza na Bamako siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2023, sijaelewa kwann CAF waipange mechi hii ngumu siku ya wanawake.

Wadau mnisaidie
Shida iko wapi kwani? Kama unaenda mahali kusherehekea hiyo siku ya wanawake duniani, hakuna shaka. Tutakuja kukupa matokeo.
 
Back
Top Bottom