Yanga kucheza na Kaizer chiefs 22 July

Yanga kucheza na Kaizer chiefs 22 July

Kambi inawekwa wapi?
... πŸŽ™οΈ | π˜Όπ™‘π™„π˜Ύ π™†π˜Όπ™ˆπ˜½π™„ π˜½π™Šπ™π˜Ό π™•π˜Όπ™„π˜Ώπ™„

"Kwa bahati nzuri mimi nimefanikiwa kuzitembelea kambi zote mbili, ya Simba na Yanga. Naweza kusema Yanga wanafanya maandakizi yao kwenye kambi nzuri kuliko timu yoyote Tanzania. Ndio maana sishangai kuona hawaeindi pre-season Nje ya Nchi,"

"Simba kwenda Nje ya Nchi kuweka kambi ni sahihi kwao. Wachezaji wa Simba hutumia dakika (20') kwenye gari kutoka kwenye Kambi yao hadi Bunju kufanya mazoez,"

" Bunju hakuna utulivu, wananchi wanaweza kwenda muda wowote kutazama Wachezaji. Kitu cha msingi kwenye pre-season ni utulivu pale hapana utulivu," - Chisano Jr

"Yanga wao hutembea kwa mguu tu kutoka kwenye nyumba zao pale Avic town hadi uwanjani. Ni hatua chache tu, Facilities zote zipo na kuna utulivu wa kutosha kumfanya kocha kuingiza mbinu zake"
 
Back
Top Bottom