MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana.
Kuna Shabiki mmoja ametabiri kuwa labda itacheza baada ya miaka 10 lakini mimi ninampinga sana.
Kutokana na utaratibu wa Yanga ni busara Klabu ya Yanga iwaambie mashabiki wake kuwa itacheza tena fainali ijayo mwaka 2111, hivyo wajiandae kiroho, kimwili na kiakili kuishangilia klabu yao huo mwaka 2111 kama walivyofanya mwaka huu 2023.