Yanga kucheza tena Fainali sio baada ya miaka 10 bali ni miaka 88 ijayo

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Wadau nichukue nafasi hii kuipongeza Klabu ya Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho mwaka huu 2023 ikiwa ni miaka 88 toka Klabu ianzishwe. Miaka 88 sio muda mfupi ni muda mrefu sana.

Kuna Shabiki mmoja ametabiri kuwa labda itacheza baada ya miaka 10 lakini mimi ninampinga sana.

Kutokana na utaratibu wa Yanga ni busara Klabu ya Yanga iwaambie mashabiki wake kuwa itacheza tena fainali ijayo mwaka 2111, hivyo wajiandae kiroho, kimwili na kiakili kuishangilia klabu yao huo mwaka 2111 kama walivyofanya mwaka huu 2023.

 
Vipi Kuhusu Simba Yetu Mtabiri Wetu
 
nahisi una tumbo la kuhara
 
Haya tumekusikia
Umekunywa chai lakini,isje kua ni njaa inakusumbua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…