Yanga kuelekea msimu mpya 2022/2023

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Mashabiki wa Yanga uzi huu ni kwaajili ya kutoa maoni na mapendekezo ya namna ya usajili kwenye maeneo yenye mapungufu ili kuifanya Yanga iwe imara zaidi ili kwenye klabu bingwa ifanye vizuri kwa kucheza nusu fainali ya CAF champions league. Taja maeneo ambayo yanahitaji maboresho, bibafsi naanza na sehemu ya striker, Makambo hatufai anahitajika mtu mwenye uwezo mkubwa wa kumzidi Mayele ili kule mbele kuwe hatari zaidi. Wewe je?
 
Nusu fainali klabu bingwa Afrika hawaendi vipofu kama ninyi. Ninyi mpira wenu ni wa hapahapa tu bongo .
 
Hizo ni akili za kimasikini sana,wewe huwezi kumiliki pesa maisha yako yote.
Maana unaona kucheza nusu fainali kunashushwa tu kutoka mbinguni na siyo juhudi na maarifa.
Baada ya kuona juhudi na maarifa vimekosekana kwenye kikosi cha yanga ndio maana nimekuja na comment hiyo
 
Hao wanaocheza nusu fainali vikosi vinashushwa toka mbinguni?
Kwanini unawataja wao kama mfano, kwanini usijitaje wewe kama reference?

Hiyo tu inathibitisha hamjafikia level hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…