changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mashabiki wa Yanga uzi huu ni kwaajili ya kutoa maoni na mapendekezo ya namna ya usajili kwenye maeneo yenye mapungufu ili kuifanya Yanga iwe imara zaidi ili kwenye klabu bingwa ifanye vizuri kwa kucheza nusu fainali ya CAF champions league. Taja maeneo ambayo yanahitaji maboresho, bibafsi naanza na sehemu ya striker, Makambo hatufai anahitajika mtu mwenye uwezo mkubwa wa kumzidi Mayele ili kule mbele kuwe hatari zaidi. Wewe je?