Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Ni ile ambayo imeweka focus katika leo, kuliko kujidhatiti kwenye historiaNini maana ya timu?
Timu ni ile ambayo inaweza ku diagnosis mapungufu yake na kuyafanyia kazi licha ya kwamba kwenye huo mchezo ambao walionesha mapungufu lakini walipata matokeo
Timu ni ile ambayo inasajili wachezaji wazuri kwa level za kimataifa na sio kutafuta mchezaji ambaye ataweza kumsumbua mshindani wako wa ndani
Timu ni ile ambayo husajili mchezaji kwa uhitaji maalumu na sio kusajili kwalengo la kumkera mshindani wako wa ndani
Timu ya mpira ni ile ambayo inajua thamani ya mchezaji mkubwa aliyeuzwa inapaswa kuwa replaced kwa mchezaji mkubwa zaidi na sio kununua wachezaji wamafungu kwa lengo la kuwakuza
Kwenye hayo sijaisema Yanga tu mpaka simba