Yanga kuelekea msimu mpya 2022/2023

Yanga kuelekea msimu mpya 2022/2023

Nini maana ya timu?
Ni ile ambayo imeweka focus katika leo, kuliko kujidhatiti kwenye historia

Timu ni ile ambayo inaweza ku diagnosis mapungufu yake na kuyafanyia kazi licha ya kwamba kwenye huo mchezo ambao walionesha mapungufu lakini walipata matokeo

Timu ni ile ambayo inasajili wachezaji wazuri kwa level za kimataifa na sio kutafuta mchezaji ambaye ataweza kumsumbua mshindani wako wa ndani

Timu ni ile ambayo husajili mchezaji kwa uhitaji maalumu na sio kusajili kwalengo la kumkera mshindani wako wa ndani

Timu ya mpira ni ile ambayo inajua thamani ya mchezaji mkubwa aliyeuzwa inapaswa kuwa replaced kwa mchezaji mkubwa zaidi na sio kununua wachezaji wamafungu kwa lengo la kuwakuza

Kwenye hayo sijaisema Yanga tu mpaka simba
 
Na ndio maana huu uzi nimeuweka kwaajili ya maboresho ya kikosi kwenye mapungufu ili kuweza kucheza nusu fainali klabu bingwa. Badala yake wewe umekuja kucoment kwenye post namba mbili utafikiri timu zinazocheza nusu fainali zinashushwa mbinguni
 
Sio maboresho ya kikosi pekee, hata uongozi nao unahitaji mabadiliko
 
Yanga inahitaji beki namba 3 mmoja! Namaanisha left back! Kibwana anacheza ile namba kwa sababu wenye namba yao wamepwaya.

Kiungo namba 8 mmoja mnyumbulifu, na mchezaji wa penetration pass.

viungo washambuliaji wawili wa pembeni (kushoto, yaani namba 11 na kulia, namba 7) wa kiwango cha kimataifa! Moloko Ushindi, Farid, Nkane Ngushi na Kaseke hawajafikia kiwango hicho.

Mshambuliaji mmoja wa kati mwenye uwezo wa kucheza namba 2 pale mbele! 9 na 10!

Goal keeping ✔️
Right back ✔️
Left back✴️
Center back ✔️
Defensive midfield✔️
Attacking midfield✴️
Stikers✴️
Technical bench✔️

Wakifanyia kazi haya maoni, basi mwakani tutapata mafanikio kubwa zaidi ya haya msimu huu.
 
1. Left back
2. Wingers, 7 & 11
3. Center back mmoja (Job not aggressive)
4. Attacking mildfielder (10),
5. Number 9
6. Assistant coach ambae atapendekezwa na Nnabi. Kaze aendelee kuwepo.
7. Madlahi ya Nnabi yalindwe.
 
Weka malengo ya kufika round ya pili ,wewe kufika semis itakuchukua miaka 20+
Yanga are always timu ya hapahapa inaitwa kukamia fc
 
Back
Top Bottom