Yanga kufunga magoli machache mnasema imeshuka kiwango,Ila nyie Simba na Yanga kufungwa goli chache siku hizi na Ahly Mnajisifu Mmekua kisoka

Yanga kufunga magoli machache mnasema imeshuka kiwango,Ila nyie Simba na Yanga kufungwa goli chache siku hizi na Ahly Mnajisifu Mmekua kisoka

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habar Mwana Jf Jukwaa la Sport.

Siku nyingi sana nimekua nikiliwaza hili ila leo nimeona nilianzishie uzi.

Baada ya ule uzi wangu wa kuhoji kuhusu CAMARA kupewa Man of the Match kuchukuliwa na Crown Fm kama ulivyo na kuzua mjadala ule ule jamaa ukisikiliza walipita mlemle kwenye uzi wangu na leo nawakaribisha msome huu halaf mkajadili ni jambo jema hata msipo toa credit kwangu ni vyema tu kikubwa tufunguane akili.

Kitu ambacho nimekua najiuliza sana ni swala la club ya Yanga kushutumiwa hivi karibuni kua imeshuka viwango mara makocha wamewajulia kwahio saiv kwisha habari yao.

Kauli hizi zimetamalalki sana hasa baada ya Yanga kupata ushindi wa goli 2-0 Vs Kagera, 1-0 Vs KenGold na 1-0 Vs KMC.

Na hilo limeibuka kwa hoja kua yanga kwa misimu miwili hii imekua ni team ya kutoa dozi nzito sana kwa team za ligi hata za Nje ikikutana nazo.

So baada ya kuona Msimu huu imekua na matokeo ya ushindi mwembamba watu wamewageuka Yanga haohao na kuwaita wameanza kuisha.

Ujue hili limenifikirisha sana nakunipa maswal mengi sana na nikaona hii ni dharau kwa team hizi ambazo Yanga amecheza nazo.

Why nasema hivi haiwezekani Team kama KMC,KAGERA,KEN GOLD zi sajili na zilipe vizur wachezaji halaf uendelee kubeza kua ni za kupigwa 5 au 6 sa wao walikuja kwenye Ligi kufanya Nini? au ilikua nini Maana ya mapumziko ya Ligi?

Team zinavyopunguza vipigo kwenye Ligi tuchukulie kama sign ya kwamba ligi inakua na ushindani unaongezeka...sa Ligi ikiwa na Team inapigaga tu 5-0 kwa Ligi mfano kuna ka team kanaitwa NEW SAINT kule Wales somehow saiv kanakaziwa zaman kalikua kanatoa Dozi kwa Ligi yake unakuta kana magoli kuelekea 200 unasema haka UEFA katakua ka Moto team ikienda kule inachezea vibaya Mno...kwenye zile Preliminaries tu ishatolewa na vipigo vizito tena.

My take kama mtu wa Mpira ukiona hivo elewa kabisa mpira wa Bongo unakua ila sitoshangaa kuna watu wataendelea na akili za utani wa jadi wa kijinga walio athiriwa na ccm.

Ukiendelea kusema Yanga imeshuka kiwango nitakuuliza swali moja.

Ahly ya 2010's na ya Saiv,Je ya saiv imeshuka kiwango nayo?

why nitauliza hivo ni kwa sababu miaka ya 2010 Simba au Yanga zilikua zikienda Misri zilikua zinachezea Makono sana ya Yani Simba hadi awamu ya JPM walikua bado wanachezea 5 hadi likaja lile neno la kiarabu HAMSA mmesahau?

vipi leo Ahly anakuja kwa Mkapa anapata Droo kwa mbinde na kuna kipindi Simba amepata ushindi na siku hizi team zenu hizo za Simba na Yanga zikienda kule zinafungwa goli chache au zinapata droo mfano Simba msimu wa Super League.

Mbona hapo hua mnabadilika na kuanza kua anhaaa Kisoka Tumekua sana saiv tuna mzuia hata AHLY mbona hamsemi AHLY imeshuka kiwango?

Tusiwe wabinafsi sana wa kuzipongeza Team hizi tulizo ziona ndogo pale zikianza kukua na kuonyesha ushindani...tunahitaji ushindani kwa League mi kiukweli last season nilikua sifurahishwi na yale ma ushindi ya Yanga ya goli 5 yalikua yanaonyesha kua Ligi hakuna ushindani.

Mwisho.

#Hello!🇵🇹
 
Nadhani jibu la hoja yako itapatikana baada ya hatua ya makundi kutamatika, kama Yanga itakuwa inaendeleza kushinda na kutoa vipigo kwa timu zilizopo kwenye klabu bingwa basi ligi yetu itakuwa imekuwa. Ila ikitokea imeshindwa kuingia robo basi imeshuka kiwango na pia kama ikishindwa kutetea makombe yake nayo itakuwa ni jibu kuwa imeshuka.

Binafsi mimi naona kilichopungua ni fighting spirit kwa wachezaji tofauti na msimu uliopita walikuwa wanakusaka mpaka utatoa tu. Na ukikubali kufungwa goli la mapema umeisha ila saivi wachezaji wana mentality ya u star, na alivyokuja Chama ndio ksbisa watu wanawaza nani atakuwa ni mfalme. Mchezaji ambaye kabakia na morali ile ile na hana makuu ni Maxi peke yake na ndio maana unaona hajaathirika kiakili yeye anachojua ni kucheza jihadi tu. Na ndio huyo anayeiokoa timu kwa magoli ya muhimu
 
Kutoka magoli 5 hadi goli moja kama pembe la faru halafu mnasema timu haijashuka kiwango,baada ya hapo draw au kupoteza halafu mtaanza tunaonewa na marefa na kukamiwa na timu zingine.
 
Una hoja

Back
Top Bottom