Yanga kufunga usajili wake wiki hii na hawa mafundi!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_George Lwandamina.jpg

YANGA imepanga kufunga usajili wake mpaka kufikia mwisho wa wiki hii, lakini vifaa vitakavyohitimisha zoezi hilo la usajili vimewekwa wazi na kuonekana kwamba vitakuwa na ushindani mkubwa.

Katika usajili wa kiungo mkabaji mtihani mizito utakuwa ni kati ya kiungo raias wa DR Congo, Kabamba Tshishimbi anayechezea Mbambane Swallows ya Swaziland ambaye sasa nafasi yake inasubiri ubovu wa Mcameloon Fenando Bongnyang.

Bongnyang ambaye tayari yupo nchini akijaribiwa na kocha George Lwandamina, tayari alianza kumshawishi kocha huyu kutokana na utulivu wake na rekodi zake ambapo ataonyesha kumudu majukumu yake uwanjani anaweza kupewa usajili na kuzima ndoto za Kabamba kutua Yanga.

Tayari Lwandamina alishamuona Kabamba kwa awamu mbili tofauti ambapo anachofanya sasa ni kushindanisha ushindani wa wawili hao na kufunga usajili wa seheme hiyo ya kiungo kwa mchezaji wa kigeni akitakiwa kiungo wa shoka kwa kukaba na kupiga pasi za kuanzisha mashambulizi.

Mchezaji kiraka Erasto Nyoni wa Azam FC wakati wowote anaweza kumharibia Deus Kaseke kubaki kwenye timu hiyo baada ya mabosi wa Yanga kuchoka usumbufu wa kiungo huyo akiitaji fedha nyingi ili asaini.

Mazungumzo ya Yanga na Kaseke yameingia kwenye utata mzito ambapo mabosi wa Yanga wameanza kupiga akili mpya wakimfuata Nyoni ambaye wamegundua ana faida nyingi akiwa kwenye kikosi kutokana na kucheza nafasi nyingi akimzidi Kaseke.

Endapo Yanga itamalizana na Nyoni, ni wazi kwamba Kaseke anaweza kujikuta ghafla kaondolewa katika kikosi hicho baada ya kufanya kosa la kugomea kiasi cha fedha ambacho Yanga ilitaka kumpa ambazo ni zaidi ya sh mil 30.

Kiungo wa Mbeya City, Rafael Daudi ni kama tayari ameshavaa jezi za timu hiyo baada ya Yanga kumaliza kumuingizia fedha zake sambamba na kumalizana na klabu yake ya Mbeya City ambayo ilishapewa chake katika kumuachia kinda huyo.

Tayari taarifa kutoka ndani ya Yanga ni kwamba mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Yanga, Husen Nyika alikuwa jijini Mwanza wikiendi iliyopita akivamia kambi ya Taifa Stars kumalizana na Rafael na Nyoni ambao walikuwa katika kikosi hicho walipocheza dhidi ya Rwanda.
 
View attachment 545924

Atusajiliiwazee bana nyoni akachezeesimbaa
 
Vipi mlitangaza Kwa mbwembwe nyingi kuwa mmemsajili NYONI imekuwaji Mnyama kamnyakua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani si hata NGOMA alisajiriwa na wa mchangani! Leo kikowapi? Tatizo la wa mchangani mnaongea sana bila ya akiba ya maneno. Tusubiri muda tu......

Huyo Nyoni kama yupo kwenye mahesabu ya mwalimu wa WATOTO WA MJINI, wa mchangani hamna chenu.
 
Kuna issue IPO chini ya carpet kuwa Manula kawapiga chini Simba kasajili Yanga....
 
Back
Top Bottom